Najuta kujirahisisha kwa jimama la benki kuu

Nime connect dots hadi nimempata. Halafu mbona ni mdada tuu? Au kisa lile umbo plus umri wako! Ila daah...huwezi mdhania mtu kwa muonekano wake
Acha hizo broo
 
Nipe namba yake mkuu
 
Mbona mjomba wako niko hapa naweza kukupiga tafu,mimi huku kwa shangazi yako sishibi kabisa fanya mpango tupige kolabo mwanangu tumchukulie vizuri hela huyo maza.

Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
 
Malengo YAKO ni yapi kwa miaka yote uliyoishi apooo,,,,huna ndugu wa karibu,,,huyo mama hana mme.....tupe majawabu hapa tuone
 
Nime connect dots hadi nimempata. Halafu mbona ni mdada tuu? Au kisa lile umbo plus umri wako! Ila daah...huwezi mdhania mtu kwa muonekano wake
Kwamba ni Kweli?
 
Siku hizi sio watoto wa kike tuu wanalelewa na wazee; wa kiume wanakaribia kushika nafasi ya juu

Mungu akiokoe kizazi chetu
Vijana wame elewa haki sawa na usawa wa kijinsia unao fundishwa mashuleni,hizi harakati zimewafanya watoto wa kiume wa fikirie kwamba wana haki sawa na wanawake.
 
Hii nini sasa, haina kichwa wala miguu.
 
Hapa kazini tumeshamjua na wamem foward dia ujumbe wako. Umeshaharibu kazi kijana, jiandae kisaikolojia huna wiki moja mbele kimeshaota nyasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…