Najuta kujirahisisha kwa jimama la benki kuu

Wanaume wa hovyo kabisa wanaongezeka kwa kasi....... unalishwa na mwanamke na kufanywa mtumwa bila aibu unaleta post hapa!!!
Mwenye aibu alikufa na kupe kwapani
 
Nina umri wa miaka 29, tangu nimalize chuo miaka mitano nyuma sijapata kazi, nikajiegesha kwa maza mmoja anafanya kazi benki kuu, anaishi maghorofa ya Mbezi Beach, aisee najuta, simu yangu iko tracked muda wote. Ikifika tu muda wake wa kutoka anataka niwepo getini kwake namngoja, baada ya hapo tunaenda kwake Mbezi Beach.

Ananikondesha, maza sijui anakula mkuyati gani? Ana nyege zisizoisha. Yaani nakuwa mchovu muda wote.

Sasa ameanza kunipa dawa ya kuniboost ili tu nimkune usiku kucha.

Najuta kujirahisisha kwa jimama la benki kuu
Wewe si ni ulijifanya kidume? Komaa
 
You have a very low thinking. Hapa umetoa mpaka address ya boss wako. Kibarua kitaota sasa. Hili taifa lina vijana wengi wajinga na wazembe sana. Kama hatua hazitachukuliwa kwenye malezi na elimu yetu then tutakuwa tunatenganeza wajinga wengi sana kama huyu. Sishangai kufanya kazi unayoifanya.
Wamama tuachane na hawa wavulana
 
Nina umri wa miaka 29, tangu nimalize chuo miaka mitano nyuma sijapata kazi, nikajiegesha kwa maza mmoja anafanya kazi benki kuu, anaishi maghorofa ya Mbezi Beach, aisee najuta, simu yangu iko tracked muda wote. Ikifika tu muda wake wa kutoka anataka niwepo getini kwake namngoja, baada ya hapo tunaenda kwake Mbezi Beach.

Ananikondesha, maza sijui anakula mkuyati gani? Ana nyege zisizoisha. Yaani nakuwa mchovu muda wote.

Sasa ameanza kunipa dawa ya kuniboost ili tu nimkune usiku kucha.

Najuta kujirahisisha kwa jimama la benki kuu
Mle kwa mpalange
 
Back
Top Bottom