Nilijichanganya kwa ushauri kutoka kwa Mafundi uchwara. Nilinunua Toyota Harrier 2990cc Petrol ukiweka Lita 10 kutoka Kimara mpaka Kariakoo taa inawaka. Naliuza kwa 17m TZS Ila wateja hawarudi.
View attachment 2124934
Bei ya hio gari akimpata boya atauza 12M ila akikutana na wahuni hawatolipa zaidi ya 9MHarrier old model ni 15-18m mpya wewe una used then unataka 17[emoji23][emoji23] tena cc 3000
Kuna kijiwe kimoja kipo pale mitaa ya muhimbili karibu na njiapanda ya diamond jubilee hao jamaa ni noma..Tembelea maeneo ya temeke na depot za mafuta upate mafuta bei kitonga
Umuuzie kanyaboya?Ninayo kama hiyo nauza 10m Cash. Anaehitaji aje PM
Umuuzie kanyaboya?
Tako la nyani[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu ni wakorofi sana
Huku kwetu wanaliita tako la Nyani
Yote kwa yote pole sana mwamba
Yanakua machafu hayo ataua gari yakeTembelea maeneo ya temeke na depot za mafuta upate mafuta bei kitonga
Duuh mpaka nimeogopa mkuu hii chuma ya huyo mwamba itakuwa na tatizo kwakweli labda Kama maelezo hayajanyooka.Toka Posta mpaka Mlandizi ni km 40+
Manake lita 10 za gari yako zingetosha kufika kama ingekuwa inakula 1l/4km.
Toka kimara mpaka kkoo ni kama 20km. Manake kwa lita 10 zako inatumia 1l/2km?
Kwamba VXR yenye 5.7l inakula mafuta vizuri kuliko harrier yako yenye 3l?
Something must be wrong, unless unakuza mambo.
Well notedMara ya mwisho kubadili plugs, air cliner ni lini? Sensors zake zote nzima? Fanya diagnosis...inakula ila sio kihivyo.
Sent from my SM-N986B using JamiiForums mobile app
labda kuna shida...Toka Posta mpaka Mlandizi ni km 40+
Manake lita 10 za gari yako zingetosha kufika kama ingekuwa inakula 1l/4km.
Toka kimara mpaka kkoo ni kama 20km. Manake kwa lita 10 zako inatumia 1l/2km?
Kwamba VXR yenye 5.7l inakula mafuta vizuri kuliko harrier yako yenye 3l?
Something must be wrong, unless unakuza mambo.
Naona unachanganya mambo. Si tako la nyani hiyo.Watu ni wakorofi sana
Huku kwetu wanaliita tako la Nyani
Yote kwa yote pole sana mwamba
Yale yanayochunjwa na mateja si safi na salamaTembelea maeneo ya temeke na depot za mafuta upate mafuta bei kitonga
Inasemekana hiyo ni bei ya X TRAIL , Hizi nazo ni pasua kichwa.Lete nikupe mil7 mkuu!
Ili uondokani na tatizo hilo unatakiwa ubadilishe engine na uweke 5s engine,mimi ninayo hiyo tangu nibadilishe engine huu ni mwaka wa tano ipo vizuri sana na fuel consumption iko poa.Nilijichanganya kwa ushauri kutoka kwa Mafundi uchwara. Nilinunua Toyota Harrier 2990cc Petrol ukiweka Lita 10 kutoka Kimara mpaka Kariakoo taa inawaka. Naliuza kwa 17m TZS Ila wateja hawarudi.
View attachment 2124934