Najuta kumsaidia rafiki yangu huyu

Sasa mkuu Kama hutaki, SI una wajulisha wafanye utaratibu mwingine.
Kwanza tujiulize, jamaa yupo wapi? Kwa sababu ameshasema hana nauli, bila shaka ni mbali sana na dili lilipo.

Hujajiuliza kama anatafakari ni wapi atafikia. Ataishije kwa wakati anaposubiria mshahara.

Lakini pia, umesema kijana alikuwa anaandaliwa kwa ajili ya Majukumu ya kupiga 'dili'. Kwa tafsiri nyepesi dili ni mapato nje ya utaratibu halali.
Kuchepusha mapato ya kampuni.

Unajuaje kama Mungu kamuepushia jumba bovu lisimuangukie? Na ikakucost wewe pia?
 
Take it from me huyo jamaa ana ugonjwa wa akili, kama munamjali muwahisheni haraka hospitalini.
 
Mkuu nauli yenyewe ni elfu 5 tu, sehemu na kingine hayo yote walikuwa Wana yajua waliyo muita.
👉Halafu kuhusu hizo deal ni taarifa tu, maana Kuna kuuza rangi kwa promotion.
👉halafu ndo ashindwe kutoa hata taarifa aisee🤔😀
 
Mkuu nauli yenyewe ni elfu 5 tu, sehemu na kingine hayo yote walikuwa Wana yajua waliyo muita.
👉Halafu kuhusu hizo deal ni taarifa tu, maana Kuna kuuza rangi kwa promotion.
👉halafu ndo ashindwe kutoa hata taarifa aisee🤔😀
Tukuulize wewe,

Hivi unachojutia haswa ni kipi? Kujuta unajua maana yake? Disappointment ni jambo la kawaida.

Kampuni ita-extend muda wa kutafuta mfanyakazi. Wapo wengi sana mtaani.

Jamaa yako hata angetuma CV na makorokocho yote, pengine angeharibu mbeleni. Na lawama pamoja na gharama zikakuangukia wewe.

There is nothing to regret. Vinginevyo ulikuwa na percent yako, imekupita kando.
 
Huyo X ana kazi yake, alikuwa akikudanganya kuwa hana kazi.
Achana naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…