Najuta kumtia umasikini Mama yangu

Mama yake kusoma na mkurugenzi mtendaji wa nmb shule ya msingi.. kwake dogo ndio anaona walipaswa leo kuwa na maisha sawa.

Anasahau kujiuliza je sekondari form 1 walifaulu shule sawa sawa.

Stori yake inaonesha mama hakufaulu kwenda form one. Ndio maana akatafutiwa kozi ya type writer.

Ila hasemi kama bosi wa NMB alifaulu mtihani wa la saba na kuchaguliwa kwenda shule ya vipaji maalumu kilakala kuanza form one. Gap la mama yake na mtu anaemtolea mfano lilianza zamani sana.
 
Sijaelewa kwann ceo wa nmb umemchanganya kwenye masuala yako binafsi ya kifamilia maana kama ni kusoma kasoma na kukaa kwenye dawati na wengi

Mama yake kusoma na mkurugenzi mtendaji wa nmb shule ya msingi.. kwake dogo ndio anaona walipaswa leo kuwa na maisha sawa.

Anasahau kujiuliza je sekondari form 1 walifaulu shule sawa sawa.

Stori yake inaonesha mama hakufaulu kwenda form one. Ndio maana akatafutiwa kozi ya type writer.

Ila hasemi kama bosi wa NMB alifaulu mtihani wa la saba na kuchaguliwa kwenda shule ya vipaji maalumu kilakala kuanza form one. Gap la mama yake na mtu anaemtolea mfano lilianza zamani sana.
 
Nashukuru sana. Ila kwenye marafiki nadhani. Mimi ni yule mtu Ambae Zaidi ya mama yangu Sina rafiki kabisa.

Huwa nashirikiana TU na watu kwenye kazi ninazo fanya ila Sina urafiki na mtu yoyote. Labda shemeji yako🙆

Nitajitahidi kutengeneza hiyo connection lakini notaanzaje...? Nitawafikiaje hao watu wenye connection...?​
 
Labda niseme ukweli ,hakuna kipya hapa.

ulichokiandika ,ndio hali halisi ya vijana wengi wa kitanzania ,amka pambana . pole sana na huruma za jf hazitokusaidia!

kama ni Ke -i feel ure pain
kama ni me - we belong the same pain pambana chief utapata.

tushakula blueticks sana kwa ndugu,jamaa na marafiki.

Ahsante MUNGU kanitoa juani
Ahsante mama Samia kanitoa street
 
Acha upuuzi,sawazisha goli.
 
Asante sijaandika kutafuta huruma. Nimeandika ili hili linitoke moyoni. I'm healing my heart. Kwasababu ni kitu kinaizunguka sana akili yangu ivyo niliona nikiandika nitakuwa nimekitoa.​
 
Walipotezana muda sana tokea miaka ya 80 huko juzi hapa ndio amemuona kwenye simu yake smart phone. Ndio akanipa historia Yao yeye na mh. Ruth Zaipuna kuwa walikaa dawati Moja kipindi wanasoma.

Hivyo Hana ata mawasiliano yake.​
Mawasiliano yake yanapatikana, pambana na kama hili litakushinda basi wewe huna roho ya upambanaji

Mtoto wa kwanza Kwa mama, ina wezekana ni wa pekee Hana mwingine ndio maana ukiandika kuna vingi watu wana kuringanisha navyo
 
Na akaenda udsm sio degree na masters😂

Wote watakumbukana tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…