Mwaka 2019 nilijichanganya kwenye 2009 Mitsubishi Pajero 3,500Di-DAuto, Petrol. Kitu inakunywa karibia 21 litres/100km (highway). Pesa mzozo bado nalipa deni la NMB. Gari haliuziki.
Tafuta toyota aqua 2015 cc 1490, hybrid lita 100 dar tunduma na mafuta yanabaki, kuliko ununue IST au spacio tafuta toyota blade hutojuta, gari kubwa inatakiwa ipate na ndogo ya kua inaipa backup, kubwa safari za mbali, ndogo mizunguko ya mjini