Najuta kuoa huyu mwanamke! Kununua, kususa na ujeuri juu

Najuta kuoa huyu mwanamke! Kununua, kususa na ujeuri juu

Tajiri wa kusini

JF-Expert Member
Joined
Nov 28, 2022
Posts
1,079
Reaction score
2,947
Zamani wakati nakua niliambiwa Wanawake kutoka kanda ya ziwa Ndiyo Wanawake wenye heshima kwa Hii Tanzania hususani kabila la Fulani Fulani la hayati kumbe bwana sio nilikuwa najidanganya tu.Hili kabila la former mkuu wa majeshi Wanawake zao ni jeuri na wana hasira Za kufa mtu aisee

Kwanza Nakiri kwenye mahari walinipiga Maana niliambiwa nitoe milioni 5 na kweli bwana nikatoa nikahisi yaliyomo yamo? Basi bwana Aaaah mwanamke kisirani mwanamke jeuri, na kila Aina ya Ujinga Ujinga anao aisee hawa wanyantuzu sio kabisa

Hawa wanyantuzu kwenye Mali sio kabisa Wakuu wanaweza kukufanya chochote kwa ajili ya Mali tu hata kukuua imradi wapate Mali tu! Najuta najuta
 
Kwa hapo ulipo fikia sina la kukushauri, ingawa haujachelewa kuanza upya.
Wanawake wa kinyantuzu (sio wote) wanawezana wao kwa wao, na niwanawake wajeuri pia wana tamaa na wakati wote kwao hawaoni haya kunyukana na mume hadharani.
 
Sio wa kaskazini tena sasa!?

Kila siku mnapokujaga na nyuzi zenu za kindezi kuwasema wanawake wa kichaga nawaambia kuwa tabia mbaya za mke ni kitu personal hazihusiani na kabila
Nimeamini mkuu
 
"Ubongo UTAKUPA BINTI WA KIKE, Akili ITAMBADILISHA huyo BINTI kua MKE MWEMA"


MKE 👉 jinsia ya kike iliyopevuka Akili


Kuna tofauti kati ya kupevuka mwili na akili


Tatizo ni wewe muoaji huyo MWANAMKE hana kosa lolote wala kasoro yoyote kwasababu umeona Mwanamke badala ya kuoa MKE 😁


Kama ni story ya Kweli Kaa chini Jitathmini hujachelewa anza KUMBADILISHA uyo Mwanamke kua MKE na sio rahisi kuna gharama kubwa Sana na inahitaji HEKIMA na AKILI otherwise atakuwekea hata sumu ufilie mbali
 
Back
Top Bottom