Najuta kuoa huyu mwanamke! Kununua, kususa na ujeuri juu

Najuta kuoa huyu mwanamke! Kununua, kususa na ujeuri juu

Nilishawahi kusikia wanawake wakisema usipo kuwa mbabe kwa mume wako ujue umekwisha utakuwa utapata mwenzako nikachekaaa
 
Wanawake wanachosha ingawa sjawah kuoa ila nnayo yaona kwenye uchumba yanatia uvivu kuoa.

Mm npo Mwanza na huyu manzi angu ila yeye ni mtu wa Dodoma kwkwel ukianza kulibembeleza ndio kbs unajiroga bora uliache tu hvhvo.
 
Hua nawashangaa watu wanao waponda wachagga daily umu ndani ili hali hizo tabia hua hazi angalii kabila la mtu
 
Zamani wakati nakua niliambiwa Wanawake kutoka kanda ya ziwa Ndiyo Wanawake wenye heshima kwa Hii Tanzania hususani kabila la Fulani Fulani la hayati kumbe bwana sio nilikuwa najidanganya tu.Hili kabila la former mkuu wa majeshi Wanawake zao ni jeuri na wana hasira Za kufa mtu aisee

Kwanza Nakiri kwenye mahari walinipiga Maana niliambiwa nitoe milioni 5 na kweli bwana nikatoa nikahisi yaliyomo yamo? Basi bwana Aaaah mwanamke kisirani mwanamke jeuri, na kila Aina ya Ujinga Ujinga anao aisee hawa wanyantuzu sio kabisa

Hawa wanyantuzu kwenye Mali sio kabisa Wakuu wanaweza kukufanya chochote kwa ajili ya Mali tu hata kukuua imradi wapate Mali tu! Najuta najuta
Shukuru pesa za ccm usingejidai kutoa 5M kwa mtu ambaye wengine walikula bure bila hata mia wakazagamua kama wanachimba dhahabu.

Baada ya hapo akakuona wewe ni boya tu linaelea kwenye maji uliona kama umepata dhahabu.

Kanuni ni moja tu, Do Not Put a Woman on Rock Pedestal.

Kumbuka ya Tajiri wa Mwanza na yule Wa juzi Josefu wa Goba.
Kila unapomjali mwanamke na kumweka kipaumbele kwenye maisha yako ndivyo unajitafutia matatizo.

Watu waliofanikiwa Duniani Mwanamke kwao ni kipaumbele cha mwisho.
 
Back
Top Bottom