Tajiri wa kusini
JF-Expert Member
- Nov 28, 2022
- 1,079
- 2,947
Mkuu Sasa najutiaPole sana mkuu ulikurupuka kuoa
Nilihisi angebadilika kwenye ndoa mkuuKwan mkuu ulikurupuka kutangaza ndoa Hukumchunguza kabla?
KabisaSiyo wa zama hizi
kuna wanawake ww hawajui kubembelezeka. Kwanza ukijidai kubembeleza hapo ndio anaona amekuwin, anakaza zaidi. Ss wa hivyo utafanyaje? Mwanamke asiependa amanUlim'bembeleza halafu akaendelea kununa? Akinuna m'bembeleze
Mwanaume asiyejua kubembeleza❌
Nimeamini mkuuSio wa kaskazini tena sasa!?
Kila siku mnapokujaga na nyuzi zenu za kindezi kuwasema wanawake wa kichaga nawaambia kuwa tabia mbaya za mke ni kitu personal hazihusiani na kabila
Hawa viumbe achana navyo kabisa mzee unaweza kukaa nae uchumba hata miaka mitatu lkn uhalisia wake usiupate wote, naukajisemea malaika sihuyu sasa,weka ndani sasa mwaka wakwanza ,wapili aanze kuonyesha rangi zake zote ndo utajua ulikuwa hujuiKwan mkuu ulikurupuka kutangaza ndoa Hukumchunguza kabla?
🤣🤣🤣 yani mtu abadilike kwenye ndoa? Upo serious mkuuu? Kama kwenye uchumba alikuonesha jeuri kwenye ndoa sindio mara mbili yake.Nilihisi angebadilika kwenye ndoa mkuu