Najuta kuoa huyu mwanamke! Kununua, kususa na ujeuri juu

dakika ni 78 hadi sasa kataa ndoa wapo mbele kwa bao 4
 
Elezea kilichokutokea tujue tunakusaidia vipi
 
Una umri gani na yeye ana umri gani tuanzie hapo ili tujenge hoja za kukusaidia swali la pili je mmebahatika kupata watoto
 
Wanyantuzu ni Wachagga wa kanda ya ziwa, noma sana hawa na hawanaga mapenzi hata kidogo.
 
Ni vigumu kupata nyege ukiwa na mwanamke mwenye tabia za kichagga au kipare
Hakuna kitu rahisi kama kuishi na mwanamke wa kichaga , wewe fanya majukumu yako tu , akipig kelele zake potezea ,usimlazimishe akutengee chakula akiweka sawa asipo weka sawa ishi bila kumzingatia sana mtafika miaka 100 ya ndoa yenu .
 
Uliwekwa kati and ukaingia vzr u Nafikiri kadini yanapatikana hivi hivi,akili imerejea ndio unajielewa
 
Yani milioni 5 umeenda kutoa kwaajili ya mwanamke. Si ungeenda kubeti timu moja tu Hata Kama Ina ods ndogo ungepata si chini ya milioni 15. Alafu ungeenda Karagwe kwa wanyarwanda kule mkoa wa kagera ungetoa mahari laki 3 tu. Ungerudi kwenu na piss Kali Tena wanaheshima.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…