Najuta kuoa huyu mwanamke! Kununua, kususa na ujeuri juu

Jidanganyeeeeee!
 
Hakuna kitu rahisi kama kuishi na mwanamke wa kichaga , wewe fanya majukumu yako tu , akipig kelele zake potezea ,usimlazimishe akutengee chakula akiweka sawa asipo weka sawa ishi bila kumzingatia sana mtafika miaka 100 ya ndoa yenu .
Mwanamke wa kichagga au kipare sijuwi, labda huyo wako ni msukule tu.
 
Ila mnaodeka wazuri mno , ila huyo anaye fanya kisirani ili umdekeze huwa wanakera mda mwingne.
Utakuta mwingine anajifanya kashukiwa na Allah na kupewa majini, basi hao majini bwana, eheeeeee😀😱.....watakuendesha mpaka utajuta. Wakisikia tu majirani wanapika pilau au kuchoma nyama utaona na yeye Maimuna anapandisha mashetani akidai sinia nzima ya biryani iliyoshehena kuku wa kienyeji na anatakiwa ale peke yake chumbani huku akivunja mifupa. Maimuna akisikia tena harufu ya mishikaki toka kwa majirani au wapangaji wenzake hivyo hivyo atataka anunuliwe mbuzi nusu alie chumbani bila kutizamwa wala kusumbuliwa na mumewe au wanawe. Kosa tu aone shoga yake kavaa cheni ya dhahabu, atapandisha majini ya Allah ili anunuliwe cheni na hereni za Tanzanite. Kuna wanawake wengine si wa kuoa kabisa, ni majini watu....full vituko.
 
Nyie Vijana wa kileo nyieee. Sehemu ya kutumia makofi mazito mazito unataka kutumia akili na mashauriano.
Kaza sauti mkoromee mara kadhaa kama alert after there ataona vinyota nyota believe me ukimtoa lock mara moja au mbili atanyooka kama rula.
 
Hakuna kitu rahisi kama kuishi na mwanamke wa kichaga , wewe fanya majukumu yako tu , akipig kelele zake potezea ,usimlazimishe akutengee chakula akiweka sawa asipo weka sawa ishi bila kumzingatia sana mtafika miaka 100 ya ndoa yenu .
Yani mkiwazungumzia hivyo wachagga moyo wangu unaishiwa nguvu kabisa, mchumba wangu ni mchagga.
 
Wanyantuzu wenzangu oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee!
 
Piga huyo ndo mtaelewana lugha.
We unaleta mapenzi mapenzi mwenzio mapenzi kwake ni ngumi.
 
hivi nimtu mmoja?! jamaa anapitia majaribu sana sema atayashinda
Jamaa ana id kama tatu za kuletea visa 🤣🤣🤣 halafu utakuta kuna watu wapo vere siriaz kutoa ushauri wa maana.

Kuna hii ya kuteseka na ndoa, kuna ile ya mkulima ana mil 40 akatapeliwa na dada poa moro, kuna nyingine nesi anazalisha na anakula wagonjwa 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…