Najuta kuoa mwanamke kisa nimemzalisha

Mpaka watoto wanakuwa utakuwa umekwisha ongeza wengine na ndoa hiyo ikawe ya kheri kwenu
 
Sio kwamba wewe ndio umebadilika? Je una uhakika hiyo mimba ilikuwa yako?
 
Utafikiri unamjua mungu kweli
 
Sio kwamba wewe ndio umebadilika? Je una uhakika hiyo mimba ilikuwa yako?
nadhani tuanzie hapa maana kalazimishwa kuoa kakubali huenda na mimba nayo alilazimishwa....

jamaa kanishangaza sana kuwa zuzu kwa demu mpka pale demu anapomuonyesha makucha hasara za kutokaa na wazee vizuri wakampa muongozo
 
huyo ni wako umwache ili aje nje uku kuchukua wanaume,,hawa wanaume waliobaki nje uku ni wa kwetu bwana weweeeeeeeee.
 
Seriously nina hasira hapa amelala natamani hata nimpige sema basi.
Usimpige mwanamke! Kwani hana wazazi au walezi watu wazima?!

Waombe appointment, mkutane bila mkeo kujua, zungumza nao. Wao watamwita kiutu uzima kumwambia na kumuonya. Ila isiwe ndio utaratibu wako kumshtaki (utashusha hadhi brand yako)

Akiendelea muache rasmi. Waswahili wanasema "sikio la mbuzi halisikii mpaka likiwa jikoni kwenye chungu linaiva ndo linasikia"
 
Hakika ni maneno yenye busara sana haya.
 
Kwa stage niliyofikia nitamwachq tu

Mtu anawadharau ndugu zako yeye anataka amani na ww.

Nimemwambia ndoa ya kudharau ndugu zangu haipo hiyo
Ndugu wengine jau! Hasa pande zetu sisi wanaume. Disrespectful za kishamba huwa hazikauki.
 
Muongeze Mimba nyingine atakuheshimu tu, heshima ya Mwanaume ndio hio mtie mikwaju avimbe kitumbo HICHO

Believe me ukimtia Mimba awamu HII atakuheshimu kuliko awamu zote wewe utakua km Mbappe na Christian Ronaldo kwa pamoja atakuzalia Messi
Mapema kabisa mshauri kama ana chochote kinachogawanyika mara mbili asisahau kufanya alichofanya Achraf Hakimi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…