Najuta kuoa mwanamke kisa nimemzalisha

Najuta kuoa mwanamke kisa nimemzalisha

Usiku hapa niko na hasira kama zote.

Baada ya mwanamke mmoja niliyempa mimba na kuamua kuishi naye kwa ushawishi mkubwa wa ndugu.

Kiukweli Mwanzoni wa maisha alikuwa binti mzuri Mwenye kila sababu ya kuitwa mke.

Kwa sasa amebadilika madharau, kiburi, jeuri, Mwenye kinyongo, gubu, asiye na shukrani.

Mungu anisamehe ila nitamwacha tu.

Ngoja watoto wakue.

Siwezi kuishi na mwanamke mpumbavi
Mpaka watoto wanakuwa utakuwa umekwisha ongeza wengine na ndoa hiyo ikawe ya kheri kwenu
 
Usiku hapa niko na hasira kama zote.

Baada ya mwanamke mmoja niliyempa mimba na kuamua kuishi naye kwa ushawishi mkubwa wa ndugu.

Kiukweli Mwanzoni wa maisha alikuwa binti mzuri Mwenye kila sababu ya kuitwa mke.

Kwa sasa amebadilika madharau, kiburi, jeuri, Mwenye kinyongo, gubu, asiye na shukrani.

Mungu anisamehe ila nitamwacha tu.

Ngoja watoto wakue.

Siwezi kuishi na mwanamke mpumbavi
Sio kwamba wewe ndio umebadilika? Je una uhakika hiyo mimba ilikuwa yako?
 
Hiyo hali ni ya majira na muda mfupi tu, utakutana nayo hata ukimuoa mwingine.....

Ni vizuri kua wastahimilivu na kwakweli wavumilivu sana kwani, mahusiano, uchumba na hata ndoa hupitia vipindi mbalimbali kama ilivyo hali ya hewa ya joto, baridi, kipupwe, kiangazi, masika, kipindi cha kilimo, mavuno nakadhalika 🐒

Hata hivyo, ukipata uelewa na Ufahamu wa kutosha juu ya masuala mbalimbali kwenye uhusiano, uchumba, ndoa na maisha hali hiyo usingeiona tatizo bali ni fursa ya kuimarisha mapenzi na ukaribu zaidi na mwenzi na watoto wako..

Mungu akujalie utulivu, ustahimilivu, uvumilivu na moyo wa subra, nakusihi mshirikishe Mungu, kabla hujaamua wala kufanya maamuzi ambayo yanaweza kua mzigo mzito zaidi kwa watoto wako na kwenye maisha yako....

kumbuka mkataa pema, pabaya pana mwita 🐒
Utafikiri unamjua mungu kweli
 
Sio kwamba wewe ndio umebadilika? Je una uhakika hiyo mimba ilikuwa yako?
nadhani tuanzie hapa maana kalazimishwa kuoa kakubali huenda na mimba nayo alilazimishwa....

jamaa kanishangaza sana kuwa zuzu kwa demu mpka pale demu anapomuonyesha makucha hasara za kutokaa na wazee vizuri wakampa muongozo
 
huyo ni wako umwache ili aje nje uku kuchukua wanaume,,hawa wanaume waliobaki nje uku ni wa kwetu bwana weweeeeeeeee.
 
Seriously nina hasira hapa amelala natamani hata nimpige sema basi.
Usimpige mwanamke! Kwani hana wazazi au walezi watu wazima?!

Waombe appointment, mkutane bila mkeo kujua, zungumza nao. Wao watamwita kiutu uzima kumwambia na kumuonya. Ila isiwe ndio utaratibu wako kumshtaki (utashusha hadhi brand yako)

Akiendelea muache rasmi. Waswahili wanasema "sikio la mbuzi halisikii mpaka likiwa jikoni kwenye chungu linaiva ndo linasikia"
 
Hiyo hali ni ya majira na muda mfupi tu, utakutana nayo hata ukimuoa mwingine.....

Ni vizuri kua wastahimilivu na kwakweli wavumilivu sana kwani, mahusiano, uchumba na hata ndoa hupitia vipindi mbalimbali kama ilivyo hali ya hewa ya joto, baridi, kipupwe, kiangazi, masika, kipindi cha kilimo, mavuno nakadhalika 🐒

Hata hivyo, ukipata uelewa na Ufahamu wa kutosha juu ya masuala mbalimbali kwenye uhusiano, uchumba, ndoa na maisha hali hiyo usingeiona tatizo bali ni fursa ya kuimarisha mapenzi na ukaribu zaidi na mwenzi na watoto wako..

Mungu akujalie utulivu, ustahimilivu, uvumilivu na moyo wa subra, nakusihi mshirikishe Mungu, kabla hujaamua wala kufanya maamuzi ambayo yanaweza kua mzigo mzito zaidi kwa watoto wako na kwenye maisha yako....

kumbuka mkataa pema, pabaya pana mwita 🐒
Hakika ni maneno yenye busara sana haya.
 
Kwa stage niliyofikia nitamwachq tu

Mtu anawadharau ndugu zako yeye anataka amani na ww.

Nimemwambia ndoa ya kudharau ndugu zangu haipo hiyo
Ndugu wengine jau! Hasa pande zetu sisi wanaume. Disrespectful za kishamba huwa hazikauki.
 
Muongeze Mimba nyingine atakuheshimu tu, heshima ya Mwanaume ndio hio mtie mikwaju avimbe kitumbo HICHO

Believe me ukimtia Mimba awamu HII atakuheshimu kuliko awamu zote wewe utakua km Mbappe na Christian Ronaldo kwa pamoja atakuzalia Messi
Mapema kabisa mshauri kama ana chochote kinachogawanyika mara mbili asisahau kufanya alichofanya Achraf Hakimi
 
Screenshot_2022-02-13-17-44-19-898_com.facebook.katana.jpg
 
Back
Top Bottom