Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Noted! ✍️✍️✍️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
🤣 🤣 🤣Unawapa point wazee wa kataa ndoa
Mpaka watoto wanakuwa utakuwa umekwisha ongeza wengine na ndoa hiyo ikawe ya kheri kwenuUsiku hapa niko na hasira kama zote.
Baada ya mwanamke mmoja niliyempa mimba na kuamua kuishi naye kwa ushawishi mkubwa wa ndugu.
Kiukweli Mwanzoni wa maisha alikuwa binti mzuri Mwenye kila sababu ya kuitwa mke.
Kwa sasa amebadilika madharau, kiburi, jeuri, Mwenye kinyongo, gubu, asiye na shukrani.
Mungu anisamehe ila nitamwacha tu.
Ngoja watoto wakue.
Siwezi kuishi na mwanamke mpumbavi
Umpige? MtombeSeriously nina hasira hapa amelala natamani hata nimpige sema basi.
Sio kwamba wewe ndio umebadilika? Je una uhakika hiyo mimba ilikuwa yako?Usiku hapa niko na hasira kama zote.
Baada ya mwanamke mmoja niliyempa mimba na kuamua kuishi naye kwa ushawishi mkubwa wa ndugu.
Kiukweli Mwanzoni wa maisha alikuwa binti mzuri Mwenye kila sababu ya kuitwa mke.
Kwa sasa amebadilika madharau, kiburi, jeuri, Mwenye kinyongo, gubu, asiye na shukrani.
Mungu anisamehe ila nitamwacha tu.
Ngoja watoto wakue.
Siwezi kuishi na mwanamke mpumbavi
Utafikiri unamjua mungu kweliHiyo hali ni ya majira na muda mfupi tu, utakutana nayo hata ukimuoa mwingine.....
Ni vizuri kua wastahimilivu na kwakweli wavumilivu sana kwani, mahusiano, uchumba na hata ndoa hupitia vipindi mbalimbali kama ilivyo hali ya hewa ya joto, baridi, kipupwe, kiangazi, masika, kipindi cha kilimo, mavuno nakadhalika 🐒
Hata hivyo, ukipata uelewa na Ufahamu wa kutosha juu ya masuala mbalimbali kwenye uhusiano, uchumba, ndoa na maisha hali hiyo usingeiona tatizo bali ni fursa ya kuimarisha mapenzi na ukaribu zaidi na mwenzi na watoto wako..
Mungu akujalie utulivu, ustahimilivu, uvumilivu na moyo wa subra, nakusihi mshirikishe Mungu, kabla hujaamua wala kufanya maamuzi ambayo yanaweza kua mzigo mzito zaidi kwa watoto wako na kwenye maisha yako....
kumbuka mkataa pema, pabaya pana mwita 🐒
nadhani tuanzie hapa maana kalazimishwa kuoa kakubali huenda na mimba nayo alilazimishwa....Sio kwamba wewe ndio umebadilika? Je una uhakika hiyo mimba ilikuwa yako?
Usimpige mwanamke! Kwani hana wazazi au walezi watu wazima?!Seriously nina hasira hapa amelala natamani hata nimpige sema basi.
Hakika ni maneno yenye busara sana haya.Hiyo hali ni ya majira na muda mfupi tu, utakutana nayo hata ukimuoa mwingine.....
Ni vizuri kua wastahimilivu na kwakweli wavumilivu sana kwani, mahusiano, uchumba na hata ndoa hupitia vipindi mbalimbali kama ilivyo hali ya hewa ya joto, baridi, kipupwe, kiangazi, masika, kipindi cha kilimo, mavuno nakadhalika 🐒
Hata hivyo, ukipata uelewa na Ufahamu wa kutosha juu ya masuala mbalimbali kwenye uhusiano, uchumba, ndoa na maisha hali hiyo usingeiona tatizo bali ni fursa ya kuimarisha mapenzi na ukaribu zaidi na mwenzi na watoto wako..
Mungu akujalie utulivu, ustahimilivu, uvumilivu na moyo wa subra, nakusihi mshirikishe Mungu, kabla hujaamua wala kufanya maamuzi ambayo yanaweza kua mzigo mzito zaidi kwa watoto wako na kwenye maisha yako....
kumbuka mkataa pema, pabaya pana mwita 🐒
Ndugu wengine jau! Hasa pande zetu sisi wanaume. Disrespectful za kishamba huwa hazikauki.Kwa stage niliyofikia nitamwachq tu
Mtu anawadharau ndugu zako yeye anataka amani na ww.
Nimemwambia ndoa ya kudharau ndugu zangu haipo hiyo
Mapema kabisa mshauri kama ana chochote kinachogawanyika mara mbili asisahau kufanya alichofanya Achraf HakimiMuongeze Mimba nyingine atakuheshimu tu, heshima ya Mwanaume ndio hio mtie mikwaju avimbe kitumbo HICHO
Believe me ukimtia Mimba awamu HII atakuheshimu kuliko awamu zote wewe utakua km Mbappe na Christian Ronaldo kwa pamoja atakuzalia Messi