neno ni upanga
JF-Expert Member
- Jun 28, 2022
- 494
- 1,656
Kwa mapungufu ulio nayo mpendwa hata kama ungeoa kutoka kwenu mngesumbuana naye! Nimeona mapungufu yako haya hapa
1: huyo mwanamke unamfanya mfanyakazi kazi wako humpi heshima ya mke, kwa sababu mke wako huwezi kumficha mshahara wako na huwezi kumficha tarehe ya mshahara wako kutoka! Hili doa kubwa kwako
2: mke wako mpaka namba ya simu ya mfanyakazi wenu hana anakuomba wewe hii ni hatari sana mwanaume mwenzangu,
3: unamdharau huyo mwanamke huwezi kumuita mtoto mdogo, wakati ni mke wako
4: simama kama mwanaume hakuna mwanamke mgumu mbele ya mwanaume,
5: usiwe na akili ya kuendeshwa na wanafamilia wako hasa wazazi wako na ndugu zako kuwa huyo mwanamke amekuja kukuchuna, ukiwa na mindset hiyo hutakaq na mwanamke wewe
6: kwa maelezo yako inaonekana wewe bahati mbaya amekufa huyo mke wako atanyanganywa mali familia yenu,
7: kuwa muwazi kwa mke wako kwa pato Lako lote na mali zako zote, kwa kuwa unamficha ndo maana anataka kupata information kutoka kwa watu baki
8: kuwa msiri kwa mke wako hilo ni bomu unalolitega mbeleni!
Wapi ulikosea
Hapa mwanaume mwenzangu ndipo ulipokosea unapaswa kurudi na kupazawasisha japo ni kwa maumivu
ulipaswa ulipomuoa wiki tatu za mwanzo umuonyeshe sura yako halisi