Princess kidot
Member
- Jan 22, 2024
- 77
- 77
๐๐๐๐๐dahHuyo anakuja na mchepuko wake uchapiwe hapo hapo ukitoka kwenda kazini. Hawa jamaa ndivyo walivyo. Anauita huo mchepuko mganga.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
๐๐๐๐๐dahHuyo anakuja na mchepuko wake uchapiwe hapo hapo ukitoka kwenda kazini. Hawa jamaa ndivyo walivyo. Anauita huo mchepuko mganga.
Kwanza vijana ambao hamjaoa please ukitaka kuoa jaribu kuoa karibu na zone.yenu au nyumbani kwenu kabisa kuliko.kuoa.far away na.pia ukitaka kuoa mwanamke sahihi ni mwenye hofu ya mungu kabisa aisee
Yamenikuta nilioa mwanamke kutoka kanda ya.ziwa.huko.wale.waupeee na wanao nyoa fanki wale aisee hawa wanawake.sio poa kabisa ila nanideclare interest sio wote ila.most of them ni hizo yaani ukimuoa kama wewe si mtu na kabila lao utakiona chamtema kuni dadeki sio poa kabisa
Kwanza ameenda kwao kwa sababu ni mgonjwa ila.sasa wakati wakurudi.amenipa masharti eti natakiwa kurudi na mganga wa kienyeji kisa eti kwasababu yeye ni mgonjwa hatakiwa kubeba dawa mganga pekee ndiye pekee anatakiwa kubeba dawa eeeeh whaaat? It is madness.๐ง๐ง
Sijaona watu hawa wana hasira balaa yaani yeye kurusha ngumi kwenye kawaida sasa najiuliza angeolewa na mkabila mwenzie angefanya huu ujinga? Kwasababu mimi ni kabila tofauti na yeye? Halafu ukiangalia mahari ni kubwa sasa kuna tofauti gani na kuoa hawa wanawake wa mahari rahisi? Binti lina hasira balaa
Mtu anakuuliza mshahara wako ni shilingi ngapi? Na unatoka tarehe ngapi?๐ง๐ง and then anauliza nipe namba ya muuza duka wako for what? Hawa watu kwa ushirikina usiseme ni hatari sana aisee yaani kabisa anataka kuja na mganga wa kienyeji kisa eti hatakiwi kubeba dawa mganga pekee ndiye pekee mbebaji huu si ushirikina huu?
Isitoshe huu binti ni mdogo sana sasa amejuaje yote haya? Sio kama yuko coaching na ndugu zake?wanataka kuniua? Au wanataka kunikama nisiwe na kauli kwa huyu binti yao?
Najuta na i'm going to divorce her
Ulioa pepoKwanza vijana ambao hamjaoa please ukitaka kuoa jaribu kuoa karibu na zone.yenu au nyumbani kwenu kabisa kuliko.kuoa.far away na.pia ukitaka kuoa mwanamke sahihi ni mwenye hofu ya mungu kabisa aisee
Yamenikuta nilioa mwanamke kutoka kanda ya.ziwa.huko.wale.waupeee na wanao nyoa fanki wale aisee hawa wanawake.sio poa kabisa ila nanideclare interest sio wote ila.most of them ni hizo yaani ukimuoa kama wewe si mtu na kabila lao utakiona chamtema kuni dadeki sio poa kabisa
Kwanza ameenda kwao kwa sababu ni mgonjwa ila.sasa wakati wakurudi.amenipa masharti eti natakiwa kurudi na mganga wa kienyeji kisa eti kwasababu yeye ni mgonjwa hatakiwa kubeba dawa mganga pekee ndiye pekee anatakiwa kubeba dawa eeeeh whaaat? It is madness.๐ง๐ง
Sijaona watu hawa wana hasira balaa yaani yeye kurusha ngumi kwenye kawaida sasa najiuliza angeolewa na mkabila mwenzie angefanya huu ujinga? Kwasababu mimi ni kabila tofauti na yeye? Halafu ukiangalia mahari ni kubwa sasa kuna tofauti gani na kuoa hawa wanawake wa mahari rahisi? Binti lina hasira balaa
Mtu anakuuliza mshahara wako ni shilingi ngapi? Na unatoka tarehe ngapi?๐ง๐ง and then anauliza nipe namba ya muuza duka wako for what? Hawa watu kwa ushirikina usiseme ni hatari sana aisee yaani kabisa anataka kuja na mganga wa kienyeji kisa eti hatakiwi kubeba dawa mganga pekee ndiye pekee mbebaji huu si ushirikina huu?
Isitoshe huu binti ni mdogo sana sasa amejuaje yote haya? Sio kama yuko coaching na ndugu zake?wanataka kuniua? Au wanataka kunikama nisiwe na kauli kwa huyu binti yao?
Najuta na i'm going to divorce her
kweli kuna watu mnaupenda kitunguu! kinakutoa machozi lakini bado unakivumilia! mhn! kwa kweli umejipata!Najuta na i'm going to divorce her
Tatizo lenu hamsikii.Kwanza vijana ambao hamjaoa please ukitaka kuoa jaribu kuoa karibu na zone.yenu au nyumbani kwenu kabisa kuliko.kuoa.far away na.pia ukitaka kuoa mwanamke sahihi ni mwenye hofu ya mungu kabisa aisee
Yamenikuta nilioa mwanamke kutoka kanda ya.ziwa.huko.wale.waupeee na wanao nyoa fanki wale aisee hawa wanawake.sio poa kabisa ila nanideclare interest sio wote ila.most of them ni hizo yaani ukimuoa kama wewe si mtu na kabila lao utakiona chamtema kuni dadeki sio poa kabisa
Kwanza ameenda kwao kwa sababu ni mgonjwa ila.sasa wakati wakurudi.amenipa masharti eti natakiwa kurudi na mganga wa kienyeji kisa eti kwasababu yeye ni mgonjwa hatakiwa kubeba dawa mganga pekee ndiye pekee anatakiwa kubeba dawa eeeeh whaaat? It is madness.๐ง๐ง
Sijaona watu hawa wana hasira balaa yaani yeye kurusha ngumi kwenye kawaida sasa najiuliza angeolewa na mkabila mwenzie angefanya huu ujinga? Kwasababu mimi ni kabila tofauti na yeye? Halafu ukiangalia mahari ni kubwa sasa kuna tofauti gani na kuoa hawa wanawake wa mahari rahisi? Binti lina hasira balaa
Mtu anakuuliza mshahara wako ni shilingi ngapi? Na unatoka tarehe ngapi?๐ง๐ง and then anauliza nipe namba ya muuza duka wako for what? Hawa watu kwa ushirikina usiseme ni hatari sana aisee yaani kabisa anataka kuja na mganga wa kienyeji kisa eti hatakiwi kubeba dawa mganga pekee ndiye pekee mbebaji huu si ushirikina huu?
Isitoshe huu binti ni mdogo sana sasa amejuaje yote haya? Sio kama yuko coaching na ndugu zake?wanataka kuniua? Au wanataka kunikama nisiwe na kauli kwa huyu binti yao?
Najuta na i'm going to divorce her
Umesahau mkato, au ndo umemaanisha hivyohivyo!!KATAA NDOA NI UTAPELI
Masahihisho hakuna kabila la wanyantuzu hapa Tanzania ila tuna wasukuma wanaotokea ntunzuPole mkuu!! Ni msukuma ? Au Mtusi ? Au Mnyatunzu ? Mim wa Kanda ya Ziwa ila nimeoa MBENA, wabena wako poa sana na ni wachapakazi sana.
Piga chini nenda ubenani
Wanyantuzu ni sawa na Wapalestina toka Kilimanjaro kwa kuogopwa kiumafia huko kanda ya ziwa, "kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani".Wanyamtuzu mkuu
Watasema hata Mkeo ni bomu linalokulia timing tu likulipukie maana Ke hawajuagi akili zao zinataka nini.Hao wanawake mnawatoaga wapi?