Najuta kuoa mwanamke kutoka kanda ya ziwa, aisee najuta indeed!

umeandika kwa feeling ila ndoa raha yake uoe mtu wa kabila lako hii globa imekuja kuvunja hii mipaka ya muungiliano but wazee wa zamani ndoa zao zilikuwa hivyo na zikadumu.

afrika bado tunazo mila na desturi kama mila zao ndiyo hizo jiandae kupigwa kipapai.

oa kwenu
 
Huyo ni mkeo na sio mke wa jf. Hadi kufikia hatua mkeo anakurushia ngumi ameshakupima akaona haujai hata kiganjani. Hata ungeoa mzaramo angekuwa anakuchamba kila uchao na taarab juu
Kwanza vijana ambao hamjaoa please ukitaka kuoa jaribu kuoa karibu na zone.yenu au nyumbani kwenu kabisa kuliko.kuoa.far away na.pia ukitaka kuoa mwanamke sahihi ni mwenye hofu ya mungu kabisa aisee

Yamenikuta nilioa mwanamke kutoka kanda ya.ziwa.huko.wale.waupeee na wanao nyoa fanki wale aisee hawa wanawake.sio poa kabisa ila nanideclare interest sio wote ila.most of them ni hizo yaani ukimuoa kama wewe si mtu na kabila lao utakiona chamtema kuni dadeki sio poa kabisa

Kwanza ameenda kwao kwa sababu ni mgonjwa ila.sasa wakati wakurudi.amenipa masharti eti natakiwa kurudi na mganga wa kienyeji kisa eti kwasababu yeye ni mgonjwa hatakiwa kubeba dawa mganga pekee ndiye pekee anatakiwa kubeba dawa eeeeh whaaat? It is madness.๐Ÿ˜ง๐Ÿ˜ง

Sijaona watu hawa wana hasira balaa yaani yeye kurusha ngumi kwenye kawaida sasa najiuliza angeolewa na mkabila mwenzie angefanya huu ujinga? Kwasababu mimi ni kabila tofauti na yeye? Halafu ukiangalia mahari ni kubwa sasa kuna tofauti gani na kuoa hawa wanawake wa mahari rahisi? Binti lina hasira balaa

Mtu anakuuliza mshahara wako ni shilingi ngapi? Na unatoka tarehe ngapi?๐Ÿ˜ง๐Ÿ˜ง and then anauliza nipe namba ya muuza duka wako for what? Hawa watu kwa ushirikina usiseme ni hatari sana aisee yaani kabisa anataka kuja na mganga wa kienyeji kisa eti hatakiwi kubeba dawa mganga pekee ndiye pekee mbebaji huu si ushirikina huu?

Isitoshe huu binti ni mdogo sana sasa amejuaje yote haya? Sio kama yuko coaching na ndugu zake?wanataka kuniua? Au wanataka kunikama nisiwe na kauli kwa huyu binti yao?

Najuta na i'm going to divorce her
 
Poleni sana wote kingine jitahidi kuwa mkali nyumbani kwako acha kukaa kijinga utateseka wewe mungu alimuumba adam na hawa hakumuumba adam na huyu jiangalie wewe
 
Kwanza vijana ambao hamjaoa please ukitaka kuoa jaribu kuoa karibu na zone.yenu au nyumbani kwenu kabisa kuliko.kuoa.far away na.pia ukitaka kuoa mwanamke sahihi ni mwenye hofu ya mungu kabisa aisee

Yamenikuta nilioa mwanamke kutoka kanda ya.ziwa.huko.wale.waupeee na wanao nyoa fanki wale aisee hawa wanawake.sio poa kabisa ila nanideclare interest sio wote ila.most of them ni hizo yaani ukimuoa kama wewe si mtu na kabila lao utakiona chamtema kuni dadeki sio poa kabisa

Kwanza ameenda kwao kwa sababu ni mgonjwa ila.sasa wakati wakurudi.amenipa masharti eti natakiwa kurudi na mganga wa kienyeji kisa eti kwasababu yeye ni mgonjwa hatakiwa kubeba dawa mganga pekee ndiye pekee anatakiwa kubeba dawa eeeeh whaaat? It is madness.๐Ÿ˜ง๐Ÿ˜ง

Sijaona watu hawa wana hasira balaa yaani yeye kurusha ngumi kwenye kawaida sasa najiuliza angeolewa na mkabila mwenzie angefanya huu ujinga? Kwasababu mimi ni kabila tofauti na yeye? Halafu ukiangalia mahari ni kubwa sasa kuna tofauti gani na kuoa hawa wanawake wa mahari rahisi? Binti lina hasira balaa

Mtu anakuuliza mshahara wako ni shilingi ngapi? Na unatoka tarehe ngapi?๐Ÿ˜ง๐Ÿ˜ง and then anauliza nipe namba ya muuza duka wako for what? Hawa watu kwa ushirikina usiseme ni hatari sana aisee yaani kabisa anataka kuja na mganga wa kienyeji kisa eti hatakiwi kubeba dawa mganga pekee ndiye pekee mbebaji huu si ushirikina huu?

Isitoshe huu binti ni mdogo sana sasa amejuaje yote haya? Sio kama yuko coaching na ndugu zake?wanataka kuniua? Au wanataka kunikama nisiwe na kauli kwa huyu binti yao?

Najuta na i'm going to divorce her
Ulioa pepo
 
Kwanza ncheke ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚ Aisee ni masikitiko. Pole kaka ๐Ÿ˜‚
 
Tatizo lenu hamsikii.

Kila siku tunaimba humu, KATAA NDOA,NDOA NI UTAPELI hamsikii.

Haya pambana na hali yako.
 
VIJANA MUOE VIJANA MUOE VIJANA MUOE VIJANA MUOE VIJANA MUOE VIJANA MUOE VIJANA MUOE VIJANA MUOE VIJANA MUOE
 
Simple. Kama wewe sio mlugaluga basi usioe mlugaluga sababu ndege wafananao huruka pamoja.

Kwangu kama mwanamke anaamini uganga na uchawi basi tayari ni low-quality. Not my type.
 
Hapo uiposema ni mrahisi kurusha ngumi inathibitisha kabisa huyo mwanamke huwa anakutembezea kichapo.

Kwa mwanaume kamili ni kosa la jinai kurushiwa ngumi na mwanamke na akirusha ngumi kitakacho mkuta huyo mwanamke hatarudia tena maisha yake yote.
 
Nacheka kama mazuri vile ..

Umeoa mchawi, utazaa wachawi...

Ulimpendea weupe wake Sasa penda na uchawi wake...
 
Pole mkuu!! Ni msukuma ? Au Mtusi ? Au Mnyatunzu ? Mim wa Kanda ya Ziwa ila nimeoa MBENA, wabena wako poa sana na ni wachapakazi sana.

Piga chini nenda ubenani
Masahihisho hakuna kabila la wanyantuzu hapa Tanzania ila tuna wasukuma wanaotokea ntunzu
 
Back
Top Bottom