Najuta kuoa, najuta kuoa, najuta kuoa

Najuta kuoa, najuta kuoa, najuta kuoa

Hivi kweli Kuna mapenzi matamu kwa mke na mume kwenye ndoa

Au mm nilikosea wapi? Duniani kuishi ni maramoja tu. Je? Nikubali kwamba mm raha ya mapenzi nitaionea kaburini.

Au nifanye tu maamuzi magumu tubakie kulea watoto.

Nikiri tu kwamba NILIKURUPUKA kuchagua wa kuishi nae

Ndio maisha ni magumu pesa ni ngumu je? Mapenzi nayo yanahitaji pesa kiasi gani?

Mbona Kuna wengine wa hali yangu naona wanafurahia.

Ni mwanamke mvumilivu sana Ila kwenye mapenzi amefeli kidogo.

Nimepata demu nipo nae na mahusiano ndani ya miezi 3 amenipa mapenzi ambayo sijawahi kuyapata mpaka nikawa mgeni wa hii dunia

Amepata mimba ameniomba nimtumie nauli arudi maana alienda kwao tanga.

Sasa nawaza je akija nitaipata kweli hiyo furaha. Ukijumlisha na mzigo nitakao ubeba?

Ameniambia yupo tayari hata tuanze kulala chini Ila ni ananipenda.
Kama Mwanaume hutaki kuoa basi Olewa wewe.

Ndivyo mnataka wazee wa visamvu
 
Wakati unampa mimba ulikuwa na plan gani?
 
:AlienDance:u know best than anybody in this JF Assembly
 
nimekumbuka huu uzi wako mkuu;

sikumbuki kama ulisema mlikosana wapi, ni bora useme tu
 
Inawezekana mkeo yupo sawa, tatizo umemlinganisha na mwanamke mwingine ambaye ndo kwanza anachipuka na hajakumbana na hekaheka za malezi ya familia na watoto.
 
Ushauri tu kwa ujumla.....

Ndoa ni kitu ghali sana!

Wazee wetu kwa kuligundua hili walikuwa wanatutafutia wake wao wenyewe. Na zile familia zilizokuwa na hitilafu zilikuwa zinaepukwa.

Ikiwa unataka kuoa au kuolewa fanya uchunguzi mkubwa juu ya huyo mwenza wako. Mshirikishe Mungu na washirikishe watu wazima ambao wenye heshima zao watakuongoza vyema.

Tukikurupuka matokeo yake ndiyo kama haya tunaanza kulaumiana, mara ndoa haifai mara ndoa hivi.

Vilevile inatupasa tufahamu, kwenye ndoa yanayochungwa ni mambo ya msingi tu ambayo ndiyo nguzo ya mahusiano. Mapungufu mengine ni ya kawaida ambayo wewe mwanaume unayo na yeye mwanamke anayo. Hayo yasiwatoe kwenye reli.

Kingine, ni vizuri kuziombea ndoa zenu kila baada ya mwaka. Kuna watu hawapendezwi na mahusiano yenu. Hii siri ukitaka kuigundua kama wewe ni muislamu kaa ni masheikh wanaofanya utabibu yaani Ruqya: Unaweza ukawa na mwenza wako akaanza mambo ya ajabu sana mpaka ndoa ikafavunjika kumbe masikini ya Mungu siyo hata yeye watu walishamhamisha akili. Si kila mtu anapendezwa na mahusiano yenu.
 
Huyo mchepuko usimtumie nauli mwambie utamhudumia akiwa huko huko Tanga, usije ukajichanganya ukampiga chini huyo mke wako, hawa viumbe Kuna namna Mungu kawajalia baadhi ya sifa utakuta ni msafi, mapishi anajua, mama bora ila kukulana hajui anainama kama nn sijui😁, mwingine anajua kupika, mchafu, kitandani fundi na tabia mbaya
 
KATAA NDOA LINDA MAISHA YAKO
KATAA NDOA LINDA UCHUMI WAKO
KATAA NDOA LINDA UHURU WAKO
KATAA NDOA MKATABA WA KITAPELI
 
Huyo mchepuko usimtumie nauli mwambie utamhudumia akiwa huko huko Tanga, usije ukajichanganya ukampiga chini huyo mke wako, hawa viumbe Kuna namna Mungu kawajalia baadhi ya sifa utakuta ni msafi, mapishi anajua, mama bora ila kukulana hajui anainama kama nn sijui😁, mwingine anajua kupika, mchafu, kitandani fundi na tabia mbaya
Aisee
Anainama kama nini 😂
 
Hawezi kukuelewa kesharogwa huyu
 
Mmh nimerudia kusoma had mara mbili ila nilichoelewa jamaa anamke pia anamchepuko wa TANGA unaompa penz la TANGA mpaka hupelekea ndugu yetu kumsaha mkewe na kumwona hajui PENZI.

ONYO..
Ji MIXX by YAS, Nipo MME MWENZA ntampoza mkeo mbna anajua
 
Back
Top Bottom