Najuta kuoa Single mother, kila nikimtazama huyu mtoto wake Moyo wangu Unaumia kwa machungu makali. Nahitaji msaada

Siyo wote wako hivyo.
 
Nakwede naona unazidi kumtia wenge men mwenzetu, yaani ajione ana roho mbaya kwa malaika sio 🤣🤣🤣🤣
Serious hiyo ni roho mbaya mtoto kafanya nin? Malaika asiyejua A au B amekukosea nin? Hajawah saidia watoto yatima? Watoto wa mtaan je?? Ingekua huyo mwanamke anamawasiliano na mzaz mwenzake bas iyo ni mbaya
 

Ulioa kwa kutumia kichwa cha chini, na sasa unatumia kichwa cha juu, muache tu mtoto wa watu kuliko kumuangalia kwa roho mbaya hivyo
 
Kama unataka uhuru muache huyo mwanamke aondoke n mtoto wake n si kumtenganisha mtoto na mam yake.
Kamwambie mkeo haya yote unayosema hapa. Au nenda kwa wazazi wake kawaambie..
 
Huku unakoelekea kuna uwezekano ukaja kimdhuru Huyo mtoto. Jitahidi kujizuia.

Na Pole kwa kuumia, ila yatapita tu. Mchape mimba akuzalie itapunguza machungu. Vinginevyo ukitaka baba yake ashirikishwe matunzo jiandae pia kuchapiwa kwa kisingizio Cha kwenda kuchukua matumizi.
 
Naomba hizo mbinu Mkuu maana nimejilamizamisha sana kumpenda huyu mtoto lakini nimeshindwa, it's time to be free nafsi yangu iwe huru.


Now money runs the game of life and not genuine love

So mtafute Baba wa huyo mtoto ili aweze kuwa provider to his/her kid

Hamna Saba u ya kumchukia mtoto maana huyo mtoto akukulazimisha umuoe mama yake ili apate malezi na huyo mtoto hakupanga Baba yake na mama yake wawe separated.

So don't hate the player hate the game
 
Huu ushauri umeuandika kiutani ila ni mkubwa sana kwa maana umejikita zaidi kwenye madhara yanayoweza kujitokeza pindi hiyo hali itakapozidi.
Ndio kaka inabidi tutete nao, vijana wanajichanganya mno aseee !
 
Mzee apo umeshayavaa....kiukweli kazi unayo na huyo Mtoto lazima aje kumtafuta Baba yake.
Apo kimbia mzee ukaanzishe himaya yako
 
Mkuu unaumia bure tu! Mpende huyo mtoto tu kumbuka na yeye siyo Yeye uwe na huruma!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…