Expensive life
JF-Expert Member
- May 2, 2020
- 2,971
- 9,437
Sema tu umemla mtoto wa watu umemchoka. Hana tena jipya kwako. Huenda haibani tena kama zamani. Unatafuta kisingizio umteme.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu una Iq ndogo sana kama vile comment yako acha kumuita mtoto mzuri mkojo, ukimuita mtoto mkojo na wewe uliezaliwa na mwanamke tukuiteje ?Upendo kwa kule Mkojo wa mtu mwingine.....ili hali yuko hai. Ina hustle wakati baba yao pesa anashinda bar na kuhonga wanawake? Utakuwa ni mpumbabu kweli kweli
Tunza tu baba yake nipo hapa nitawaita waje tujue maendeleo ndani na nje ya mkeoWanaJF
Habari zenu, heri ya Ramadan na Kwaresma, matumaini yangu wote wazima, waliyo na changamoto Mungu akawape njia.
Ni kijana barubaru wa miaka 28 mwenye nguvu na Afya.
Wakuu kama kichwa Cha habari hapo juu kinavyo jieleza, nilioa huyu single mother mwaka mmoja uliyo pita baada ya kujiridhisha tabia zake zinafaa kuwa mke na mm bila hiyana nikachukua nikaweka ndani, nikatia pamba maskioni kuzuia kelele za "KUOGOPA SINGLE MOTHER" kumbe nilikua najidanganya nafasi yangu.
Wakuu kila kukicha nikimtazama huyu mtoto wake Roho yangu inauma kwa uchungu wa majuto ya kuoa huyu single mother ni kama nilirogwa hivi kuoa huyu mwanamke, kivipi yaani natunza mbegu za mwanaume mwingine naye yupo tu anakula Bata at the end mtoto aje kunikana mimi siyo baba yake, kwanini hata sikuchukua mdogo wangu nikae naye , kuliko kuhudumia damu ambayo siyo yangu. Wakuu najuta sana.
Niwe Mkweli nafsi yangu inajuta sana. Nahitaji msaada wa kisaikolojia nijinasue kutoka hapa nilipo kwama, imefika hatua hata kukaa nyumban siwezi kabsa.
Pia naomba wale waliyo wai pitia hii situation walijinasuaje? Mnisaidie.
Huyo Malaika si ana Baba Yake?Serious hiyo ni roho mbaya mtoto kafanya nin? Malaika asiyejua A au B amekukosea nin? Hajawah saidia watoto yatima? Watoto wa mtaan je?? Ingekua huyo mwanamke anamawasiliano na mzaz mwenzake bas iyo ni mbaya
you have a problem somewhere, unapata wapi mda wa kufukunyua thread ya two years ago? Na huyo niliyemuombea ushauri he was my young Bro.To yeye umesikia anavyosema mwenzio? Yaan pamoja na kuoa singomaza bado anakwea mnazi kwa mkono mmoja
Hata mimi ni mkojo wa Baba yangu, hata wewe umetokana na Shahawa. Soma Biblia soma Kurani.Mkuu una Iq ndogo sana kama vile comment yako acha kumuita mtoto mzuri mkojo, ukimuita mtoto mkojo na wewe uliezaliwa na mwanamke tukuiteje ?
Ili kweje? Kwani kukomoana?single mother ukimuoa mpe mimba mfululizo, hata 3 au 4.
Mpe mimba nyingine 6.Ndoa imefungwa Kanisani.
Ila wasichana nao jamani wamezidi kwa tamaa.....hata 25yra hana lakini ana mtotp wa 6yrs nje ya ndoa.6 years old
nani amekufundisha mwanamke akiwa na mtoto hawezi kupenda ?Hawezi kumpenda ng'o ,hakunq kitu kama hicho ...Hakuna mwanamke anaweza kumpenda mume mbele ya mtoto hata siku moja.
Nafsi mkuu haikubali.....hasa pale unakuta Dogo anaumwa hamjalala usiku kucha. Ila unasikia Baba yake jana alikuwa kalewa anagombana na Bar Maid.Kwenye maelezo yako hujasema kama mtoto anakupa shida yoyote. Anakudharau au anakuwekea kiburi? Kama yupo vizuri mi naona shida kubwa ipo kwako wewe.
Huyo mtoto wa kambo akipata dada zake na wadogo zake watamuita kaka/dada, tayari umetengeneza bond kati ya damu yako na damu isiyokuhusu. Inasaidia kuondoa chuki za kishamba.Ili kweje? Kwani kukomoana?
Hii kitu iko kweli. Na Kwa kuwa anampenda Mtoto ndivyo bafo anampemda Mume wa Mwanzo. Ni vile tu mume wa mwanzo ni KivulugeHawezi kumpenda ng'o ,hakunq kitu kama hicho ...Hakuna mwanamke anaweza kumpenda mume mbele ya mtoto hata siku moja.
May beHuyo mtoto wa kambo akipata dada zake na wadogo zake watamuita kaka/dada, tayari umetengeneza bond kati ya damu yako na damu isiyokuhusu.
Sio maybe mkuu. Inasaidia sana kuimarisha mahusiano. Kama una single mother wako unamkubali na unaona anafaa step one ni kumpa mtoto wake wadogo zake.May be
Huna akili samahani lakini let's close thisHata mimi ni mkojo wa Baba yangu, hata wewe umetokana na Shahawa. Soma Biblia soma Kurani.