Najuta kuolewa!

Najuta kuolewa!

Kama kumbukumbu zangu ziko sahihi nakumbuka uliaga humu ndani!
Karibu tena!!
 
Monica tubadilishane njoo uchukue wa kwang mana anapenda kujiruasha hatari, ila mim napenda t kushinda ndani, daaaaaaah ama kweli uanachokipata sicho unachokitaka
 
Nafikiri unatakiwa ubadili namna ya kuishi, ulikula kiapo cha kuwa na huyo mwenza wako siku zote za maisha yenu hapa duniani. Na ukitaka kufurahia, toa sadaka baadhi ya mambo ambayo ni kero kwa mwenzio kama hayo. Nina hakika, hata yeye kuna baadhi ya vitu alipenda kufanya ila ameacha kwa sababu yako.
#FurahiaNdoa
Nawe unatoa kabisa ushauri wako kwa monicca khaaa mwenzio hapo anasogeza tu siku na kuchangamsha balaza.unapoteza nguvu zako buree
 
Back
Top Bottom