ras jeff kapita
JF-Expert Member
- Jan 4, 2015
- 22,152
- 33,899
hahahaa ..... mie domo zege!!!? domo langu linafunguka balaa! kama yule waziri wa ha.....Tatizo na wewe domo lako zito..nimejitongozesha wewe mpak nikakata tamaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hahahaa ..... mie domo zege!!!? domo langu linafunguka balaa! kama yule waziri wa ha.....Tatizo na wewe domo lako zito..nimejitongozesha wewe mpak nikakata tamaa
Unonekana handsome lkn kutongoza hujui..
Nawe unatoa kabisa ushauri wako kwa monicca khaaa mwenzio hapo anasogeza tu siku na kuchangamsha balaza.unapoteza nguvu zako bureeNafikiri unatakiwa ubadili namna ya kuishi, ulikula kiapo cha kuwa na huyo mwenza wako siku zote za maisha yenu hapa duniani. Na ukitaka kufurahia, toa sadaka baadhi ya mambo ambayo ni kero kwa mwenzio kama hayo. Nina hakika, hata yeye kuna baadhi ya vitu alipenda kufanya ila ameacha kwa sababu yako.
#FurahiaNdoa
Ni huyuhuyu wala hujakosea mkuu, amerejea tena jamvini[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]ni huyu tena ndie alikua anachomwa na mbegu? au ni mwingine ?
Si Ungeolewa BarSiwezi vumilia mi ni mtu wa kujirusha yeye anakata tushinde ndani tu wkend zote