Najuta kuwekeza kwenye kiwanja na nyumba ya mwanamke

Mchango wangu hajauthamini kabisa mwanamke amekua mbinafsi ghafla sana.

Wakuu tuwe makini kuwekeza hela na muda wako kwenye mali ya mwanamke ni kujichimbia kaburi.
Dah! Pole mkuu, umechelewa sana kuwajua hao viumbe. Namshukuru Mungu naishi katika nchi ambayo ukimuacha mwanamke anaondoka kama alivyo kuja, ujinga wa kugawana mali ambazo hakuzichuma haupo.
 
Bro hawa wanawake waliozaliwa kuanzia miaka ya 1980 Ni wana roho ngumu ajabu..hao Ni special edition,hawakutoka Kwenye mbavu zetu..trust me
 
Kumbuka kwamba mkeo ni mama mzazi wa wanao. Wewe shupaza kichwa halafu siku wanao wakikugeuka hauna rangi utaiona.
Kwani kugeukwa ni nini? Unaogopa kugeukwa na wanao? Sitaki nikutukane. Mimi ni kijana mdogo wa miaka 24 ila baba zangu humu mna mawazo ya kitoto mno mpaka najiuliza sasa vijana tujifunze wapi.

We' mzee ni wa kuongea huo upupu? Whts kugeukwa by the way? Do you care?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…