kama ni mambo mema tii yote ukiweka mipaka utakwamaSi lazima ufate kila unachoambiwa na mzazi. Ili mradi hujawakosea heshima haina tatizo.
aah wapi huyo pombe zishakuwa kweny system mda si mrefu zitamuua ngoja nusubirie kipind katoweka humu mazima [emoji16] niombe mods waandike r. I. p kweny profile yake najua atakuwa ameenda
Neema ya Mungu ipo kwa ajili ya watu Kama Hawa.aah wapi huyo pombe zishakuwa kweny system mda si mrefu zitamuua ngoja nusubirie kipind katoweka humu mazima [emoji16] niombe mods waandike r. I. p kweny profile yake najua atakuwa ameenda
Msuba siyo drug abuse siku hizi.Madawa ya kulevya siyajui! Me napigaga msuba kwa ajili ya mind jogging sio daily pia
Fine then...I cant
Simkomoi mtu I'm just living my life vile nataka
Faza una umri gani kwanza? Nahofia kukujibu vibaya kuepuka laanaThread ya kijinga kwaio uliacha shule sababu ulikua hutaki kuishi kwenye mfumo uliolelewa tangu awali? Nilijua labda ulivyokua kiakili ulikuja kugundua labda mienendo yao haikua sahihi kumbe ni ujinga mtupu..
Sauli alikuwa mpinga Kristu mkubwa matokeo yake ni Mtume Poul aliyeuweneza ukristu duniani.Mmmmmm kagoma kwenye hizo imani sasaa.
Uko sahihi! But wapo vijana wanaojiita degree holders na wananiita boss and I pay them monthlyinasikitisha kwenye huu uzi watu wanaandika kimalkia.. je hamsadiki ya kuwa 'faza' kaishia form one! pengine mwalim wake alikuwa slow, alikuwa hajafika hata kwenye density, aliishia kuchora picha ya animal cell na plant cell.. na hata "mabala the farmer" wala "hawa the bus driver" hakusoma!!
Nailed it...Itakufaa nini kupata mali zote duniani lakini roho yako ikapotea....
NakubAl nakubali[emoji3][emoji3][emoji3]jaribu linaanzia nyumbani
Kama baba ako kashindwa kukurudisha kundini basi jaribu lake kalishindwa.
Mambo ya imani ni big picture sana
Hongera mkuu kwa kukumbuka wazee wako Mungu akubariki kwakweli
Yote kwa yote
Mathayo 5:8 "Heri wenye moyo safi maana hao watamwona Mungu."
Mambo mengine mbwembwe
Thread ya kijinga kwaio uliacha shule sababu ulikua hutaki kuishi kwenye mfumo uliolelewa tangu awali? Nilijua labda ulivyokua kiakili ulikuja kugundua labda mienendo yao haikua sahihi kumbe ni ujinga mtupu..
Sauli alikuwa mpinga Kristu mkubwa matokeo yake ni Mtume Poul aliyeuweneza ukristu duniani.