Najuta kwa mara nyingine kuwa na mahusiano na mke wa mtu

Utakufa kiunoni kwa wake za watu mkeo apate aibu ya mwaka.
 
Golden Rule: "Unachopenda watu wakufanyie na wewe fanya hivyo hivyo"
Je mke wako akachukuliwa kwa namna hiyo unaona ni sawa?
 
[emoji1787][emoji1787]


Sikuona Hapa mibbs
 
Naon wwnye wake zenu mnalialia tu hapA
tatizo sio wenye wake tatizo ni jinsi mtu anajiamini wakati tendo analofanya linaweza likagharimu sana muda wake maisha na familia pia.
Mfano sio kila aliekemea hili swala kaoa ila watu wanaelewa ni kwa jinsi gani yatakapomkuta atakua upande ambao sio salama.
Nilishawahi kukaa singida na kuna tajiri mmoja kipindi cha nyuma alitamba sana ila anguko lake lilikuja kwa mke wa mtu.
tena kibaya zaidi mwenye mke aligundua na mwamba akawa anajitapa hawez fanywa kitu kwakua ana mguu wa kuku.
mpaka naondoka singida yule tuliekua tunasema ni tajiri alifilisika na akawa na matatizo ya akili siwezi sema kwamba mwenye mke alifanya ubaya kwakua sina uhakika ila mwisho wa tajiri yule hakuna alietaka kukaa pembeni yake maana alipoteza akili kabisa na hakukua na la kufanya maana hata pesa pia zilisambaratika.
kwahyo kwenye hii mada watu wanajaribu kuonyesha kuwa sio kitendo sahihi na kama ukishajua ni mke wa mtu na umenyandua ww sepa haitapunguza uwanaume wako.
 
Hao wake za watu wenyewe sasa ambavyo hawana akili.
 
Bro Kwa umri wako inabidi uwe una jiheshimu maana unaonekana ni mtu mzima na mwenye familia ukishaona mwanamke husika kaolewa potezea tu ujiheshimu tu
 
Mkuu, huyo mwanamke hakupendi isipokuwa amekupigia mahesabu na ameiona faida ya kuwa karibu nawe.
Mke wa mtu atakupa nini ambacho bado hujakipata?

Hakuna shida endelea naye lkn ujue karma...kuna jamaa naye akusaidia au atakusaidia ukisafiri
 
sikatai nao wana udhaifu ila naamini kama mwanaume ukishajua hii kazi ina mwenyewe ww piga sepa usianze kuleta tamaa na kuweka kambi na kujiamini.
Kwel mwanangu.Haya mambo ya kuweka malengo yako kwenye malengo ya mwngine unajitafutia tu mambo
 
Na weed jiandae kuchapiwa mke wako, it's just a matter of time na maumivu utakayopata kwenye kuchapiwa hayana kipimo.
 
Kifo kinakuijia cha haraka
 
Me namjua Dr bingwaa kabisaa alilogwaa kisa mke wa mtu...
 
Ushauri wangu ni kuwa,

Achana na mke wa mtu brother...



Sent from my TECNO KG6 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…