Najuta kwa mara nyingine kuwa na mahusiano na mke wa mtu

Dah nlikuw na mke wa mtu ila kwa risala hii naachana nae..kuanzia leo [emoji120][emoji1666]
 
Kama unasema unammudu kwasababu una cheo kuliko mme wa huyo mchepuko , JIANDAE KWA ANGUKO LA NAFASI YAKO KAZINI.

Na kama umesema unammudu kwasababu ww ni baunsa kuliko mme wa huyo mchepuko, BASI JIANDAE KWA ANGUKO LA KIAFYA.

Ni afadhali ungemla kimya kimya kuliko kuleta lugha za dhihaka.

MUNGU ha dhihakiwi
 
Unadiriki kujisifia kabisa eti mumewe unammudu? Hiyo laana itakuandama maisha yako wewe na kizazi chako na bora ungenyamaza tu yani umtombery mke wa mtu alafu ujitape mumewe unammudu? Hutakufa kwa amani naona hiyo wazi
 
unavyowekeza nguvu kwa wake wa wenzio ndo hivyo hivyo wakwako anachakazwa na wahuni wa mtaani simply kwa kukosa attention kutoka kwako.
 
Ushauri ni kila unapotoka nae usisahau kubeba mafuta kabisaaaa ili usije msumbua mumewe siku akitaka kukuonjaa
 
Ni kama unatafuta wake za watu kwa style hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…