Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah nlikuw na mke wa mtu ila kwa risala hii naachana nae..kuanzia leo [emoji120][emoji1666]1. Mkuu, kwa imani yangu inanieleza kuwa, usichopenda kufanyiwa basi usimfanyie mwenzio.
2. Leo utaona huyo mtu unammudu, mtu akishatambua uovu anaofanyiwa, yupo tayari kulipa, huwezi kujua anafahamiana na nani ama nani atamsaidia ili kulipa.
3. Kesi ya ugoni, utakachofanyiwa hakina tofauti na mwizi.
4. Utakuja kuharibu familia yako daima kwa tamaa hizi ambazo umezishikilia kwa mke wa mtu.
5. Unaweza ukasoma haya yooote na bado ukajipa imani kuwa hayawezi kukutokea, unajua nini? Ulizia wooote waliowahi kupatwa na madhara ya ugoni, wameshawahi kufikiria kuwa watakamatwa?
6. Umemuoa mke wako, mpende na kumheshimu sana. Heshimu mama yako mzazi, heshimu pia mke wako.
Unammudu eehSawa
😂😂Unammudu eeh
Mimi ninamuombea mabaya. "mwenye kulitafuta ... "Hawezi kukuelewa mkuu, hatumuombei mbaya lakini siku yakija kumkuta atakumbuka hii post yako hapa JF.
Kama unasema unammudu kwasababu una cheo kuliko mme wa huyo mchepuko , JIANDAE KWA ANGUKO LA NAFASI YAKO KAZINI.Ni mwanamke ambaye nilionana nae nilipoenda kutembelea maonesho ya biashara ya sabasaba mwaka jana, na hii ni baada ya kumaliza shughuli za ukaguzi katika banda letu nikaona si vibaya nipate kutembelea mabanda mengine kujionea biashara na ubunifu wa vijana wetu.
Wakati nazunguka nilifika katika banda moja ambalo lilikuwa na wadada ambao walikuwa wakinadi bidhaa zao nikauliza maswali yangu pale mwisho nikaomba business card ya aliyekuwa ndio boss pale ambaye alikuwa ni mdada mmoja mzuri sana kuanzia rangi na umbo kwa ujumla kwa ufupi alikuwa amekamilika.
Baada ya siku kadhaa nikawa namtafuta kumjulia hali akawa mzito kujibu text zangu, mwanzo nilionesha kukata tamaa ila upande mwingine wa nafsi yangu ulisema hapana endelea kumtafuta mbona kama alivutiwa na wewe tangu ulipokanyaga banda lao pale.
Kweli bwana nikaendelea kuwasiliana nae nakumbuka nilisafiri kuja mkoa X alipo ikanibidi nikamtafuta tu kujua anaendelea vipi na mwisho nikamwambia nipo mkoa uliopo kwa wiki kadhaa na ningependa sana tupate chakula cha usiku pamoja mimi na wewe sehemu X, kwa ufupi aliitika wito siku hiyo tulizungumza mengi na hapo ndipo nikatokea kujua udhaifu wake upo wapi?
Nikaendelea kuwasiliana nae na tukawa tunaonana nae kila mara nilipokuwa nasafiri kwenda mkoa aliopo, hadi mwaka huu mwezi uliopita alinitafuta mwenyewe maana alikuwa akijua ratiba pindi nifikapo mkoa X kikazi akanipigia simu akanijuza kuwa “Leo anataka tulewe tucheze mziki pamoja” eeh nikasema nini kimemkumba huyu mrembo.
Siku hiyo nilimstaajabu sana maana alikuwa mchangamfu kupitiliza nikamuuliza kila kitu kipo sawa akanijibu “tutazungumza D” nikamwambia muda umeenda itabidi ukapumzike sasa, itabidi nikusindike ukapumzike kitu alichonijibu ni kwamba “Leo utakapoenda kulala na mimi ndipo nitalala” aisee nilisikia sikio linalia nziiiiiiiiiiiiiii kwa wale waliowahi kupigwa makofi kwenye sikio wanaujua vyema mlio huo wa sikio.
Kwa ufupi tulijikongoja hadi nilipofikia na kweli tulifanya ya kufanya niwe muwazi yule binti alikuwa fundi sana ingawa ana watoto wawili ili maungo yake yalikuwa bado ni kama ya wale mabinti wadogo, nikiri tu ingawa alikuwa ni mke wa mtu ila nilishangaa sana yeye kuwa na nyege kiasi kile.
Kisa cha kuleta uzi huu ni kwamba mwanamke yule hakuwahi kufikiria ku- cheat ila sasa amenitamkia ya kwamba ataniheshimu na atamheshimu mke wangu ila tu anaomba niwe mtu wake wa pili na yuko tayari kufanya chochote ninachotaka ili tu awe na mimi.
Hapa bado nipo kwa tafakuri zito maana nakumbuka miaka ya nyuma nilibahatika kutoka na dada mmoja ambaye pia ni mke wa mtu ila nilijikuta natumia gharama nyingi sana kwake mfano; kumuongezea mtaji katika biashara yake na kulipia kodi mara nyingi hivyo nahofu yaleyale yasije yakajitokeza kwa huyu tena.
Naombeni ushauri nimfanyaje huyu mke wa mtu.
NB
Nimegundua mme wake pia ni mtu wa safari kama mimi tu na yupo kitengo fulani na nammudu vizuri kabisa, hivyo hawezi kuwa tishio kwangu hata kidogo.
Unadiriki kujisifia kabisa eti mumewe unammudu? Hiyo laana itakuandama maisha yako wewe na kizazi chako na bora ungenyamaza tu yani umtombery mke wa mtu alafu ujitape mumewe unammudu? Hutakufa kwa amani naona hiyo waziNi mwanamke ambaye nilionana nae nilipoenda kutembelea maonesho ya biashara ya sabasaba mwaka jana, na hii ni baada ya kumaliza shughuli za ukaguzi katika banda letu nikaona si vibaya nipate kutembelea mabanda mengine kujionea biashara na ubunifu wa vijana wetu.
Wakati nazunguka nilifika katika banda moja ambalo lilikuwa na wadada ambao walikuwa wakinadi bidhaa zao nikauliza maswali yangu pale mwisho nikaomba business card ya aliyekuwa ndio boss pale ambaye alikuwa ni mdada mmoja mzuri sana kuanzia rangi na umbo kwa ujumla kwa ufupi alikuwa amekamilika.
Baada ya siku kadhaa nikawa namtafuta kumjulia hali akawa mzito kujibu text zangu, mwanzo nilionesha kukata tamaa ila upande mwingine wa nafsi yangu ulisema hapana endelea kumtafuta mbona kama alivutiwa na wewe tangu ulipokanyaga banda lao pale.
Kweli bwana nikaendelea kuwasiliana nae nakumbuka nilisafiri kuja mkoa X alipo ikanibidi nikamtafuta tu kujua anaendelea vipi na mwisho nikamwambia nipo mkoa uliopo kwa wiki kadhaa na ningependa sana tupate chakula cha usiku pamoja mimi na wewe sehemu X, kwa ufupi aliitika wito siku hiyo tulizungumza mengi na hapo ndipo nikatokea kujua udhaifu wake upo wapi?
Nikaendelea kuwasiliana nae na tukawa tunaonana nae kila mara nilipokuwa nasafiri kwenda mkoa aliopo, hadi mwaka huu mwezi uliopita alinitafuta mwenyewe maana alikuwa akijua ratiba pindi nifikapo mkoa X kikazi akanipigia simu akanijuza kuwa “Leo anataka tulewe tucheze mziki pamoja” eeh nikasema nini kimemkumba huyu mrembo.
Siku hiyo nilimstaajabu sana maana alikuwa mchangamfu kupitiliza nikamuuliza kila kitu kipo sawa akanijibu “tutazungumza D” nikamwambia muda umeenda itabidi ukapumzike sasa, itabidi nikusindike ukapumzike kitu alichonijibu ni kwamba “Leo utakapoenda kulala na mimi ndipo nitalala” aisee nilisikia sikio linalia nziiiiiiiiiiiiiii kwa wale waliowahi kupigwa makofi kwenye sikio wanaujua vyema mlio huo wa sikio.
Kwa ufupi tulijikongoja hadi nilipofikia na kweli tulifanya ya kufanya niwe muwazi yule binti alikuwa fundi sana ingawa ana watoto wawili ili maungo yake yalikuwa bado ni kama ya wale mabinti wadogo, nikiri tu ingawa alikuwa ni mke wa mtu ila nilishangaa sana yeye kuwa na nyege kiasi kile.
Kisa cha kuleta uzi huu ni kwamba mwanamke yule hakuwahi kufikiria ku- cheat ila sasa amenitamkia ya kwamba ataniheshimu na atamheshimu mke wangu ila tu anaomba niwe mtu wake wa pili na yuko tayari kufanya chochote ninachotaka ili tu awe na mimi.
Hapa bado nipo kwa tafakuri zito maana nakumbuka miaka ya nyuma nilibahatika kutoka na dada mmoja ambaye pia ni mke wa mtu ila nilijikuta natumia gharama nyingi sana kwake mfano; kumuongezea mtaji katika biashara yake na kulipia kodi mara nyingi hivyo nahofu yaleyale yasije yakajitokeza kwa huyu tena.
Naombeni ushauri nimfanyaje huyu mke wa mtu.
NB
Nimegundua mme wake pia ni mtu wa safari kama mimi tu na yupo kitengo fulani na nammudu vizuri kabisa, hivyo hawezi kuwa tishio kwangu hata kidogo.
Ni kama unatafuta wake za watu kwa style hiiNi mwanamke ambaye nilionana nae nilipoenda kutembelea maonesho ya biashara ya sabasaba mwaka jana, na hii ni baada ya kumaliza shughuli za ukaguzi katika banda letu nikaona si vibaya nipate kutembelea mabanda mengine kujionea biashara na ubunifu wa vijana wetu.