Kweliiiii kabisa. Hii ndio maana yangu. Hapo kuna tofauti ya 1000Cc
Hilo ni gari jingine ,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Pole sana mkuu. Mimi pia niliuza kigari nikajenga mabanda nafanya ka-biashara angalau napata vihela kidogo vya kulisha familia
Kama kulipa ni ndani ya saa 12 huo sio mkopo mzeeKaribu ofisini kwetu mkuu tukukopeshe gari bila dhamana yoyote. Kulipa ni ndani ya masaa 12.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi na wewe naona tunafanana....nina kanissan kangu basi watu wananisumbua ooh hii gari haiuziki...jibu langu huwa simple...sijanunua ili niuze..nilinunua nitumie siku nikiwa na uwezo wa kubadilisha isipofika bei nina ndugu kibao wanaohitaji msaada...wataitumiaMimi huwa sina utaratibu wa kuuza kitu changu hata kama nahitaji kingine ntapaki hapo ninunue kikingine ila siuzi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Lakini wewe ni mchokozi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]eti viduduHilo minibus la nini? Unamiliki shule ya vidudu?
Dharau hizi.....Sasa Corolla hapo una gari au kamkebe ka kukukinga na jua/mvua,
Mimi huwa sina utaratibu wa kuuza kitu changu hata kama nahitaji kingine ntapaki hapo ninunue kikingine ila siuzi kabisa
Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee hizo ndio gari nilikuwa nikiziona uwani kwa mzee. By that time ilikuwa zinaonekana gari za maana kweli. Ila sahivi ninazipanda kama Tax hapa Mkoani. Aisee yani ni fupi na ziko chini dashboard ilivyoka na viti vilivyo vidogo utafikiri umekalia kigoda yani!Tatizo wabongo tunapenda sifa sana, Mark X hapa mjini unafanyia nini? ENgine kubwa, matumizi ya mafuta makubwa, bei yake kubwa. Unaponunua gari cha kwanza jiulize kwa nini unanunua gari, au hii gari itanisaidia kwa shughuli zipi? 1. Movement kwenda ofisini na mishe za hapa town gari IST ilitosha kabisa. 2. Kama una shughuli kubwa kubwa za pori pori kidogo kama shamba tafuta gari kubwa lenye 4WD.
Pole sana sifa zimekuponza. Mimi nitafia na corolla yangu cc 1500
Hahaha uko vizuriUko kama mimi ndg sahiz zimefika nne na nayotumia ni moja tu[emoji23][emoji23][emoji23] kwann niuze kitu nilichonunua kwa kupenda? Acha ibaki hata ukumbusho
Jamaa anajuta kweli, sio siri na ule msoto wa usafiri wa jiji la Makonda. Kama ulizoea gari ghafla ukawa huna runaweza kupata uchungu kuliko ule wa msiba.Fundisho:Kitu ukiwa nacho huwezi kuona thamani yake mpaka kitakapokuwa hakipo ndio utaijua thamani yake...
Sent using Jamii Forums mobile app
Kuna options 3, utangulize malipo ukikamilisha uchukue gari, ulipe ndani ya saa 12 au uje na hela mkononi
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmenigusa hapo.Uko kama mimi ndg sahiz zimefika nne na nayotumia ni moja tu[emoji23][emoji23][emoji23] kwann niuze kitu nilichonunua kwa kupenda? Acha ibaki hata ukumbusho
Uko kama mimi ndg sahiz zimefika nne na nayotumia ni moja tu[emoji23][emoji23][emoji23] kwann niuze kitu nilichonunua kwa kupenda? Acha ibaki hata ukumbusho
Aisee hizo ndio gari nilikuwa nikiziona uwani kwa mzee. By that time ilikuwa zinaonekana gari za maana kweli. Ila sahivi ninazipanda kama Tax hapa Mkoani. Aisee yani ni fupi na ziko chini dashboard ilivyoka na viti vilivyo vidogo utafikiri umekalia kigoda yani!
Sitaki kuongea vibaya ila Corolla gari ya ajabu sana mkuu. Walau hao akina Mark X seat zina manyama nyama kidogo japo zinakula mafuta.
Jamaa anajuta kweli, sio siri na ule msoto wa usafiri wa jiji la Makonda. Kama ulizoea gari ghafla ukawa huna runaweza kupata uchungu kuliko ule wa msiba.