Najuta kwanini niliuza gari yangu

Najuta kwanini niliuza gari yangu

Kweliiiii kabisa. Hii ndio maana yangu. Hapo kuna tofauti ya 1000Cc
Hilo ni gari jingine ,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]

Best formula ya kubadili gari nunua kwanza hiyo unayotaka, then ndo uuze hiyo ya zamani. Zaidi ya hapo unatafuta aibu
Otherwise kama mtu ana mpango wa kuachana na gari kwanza ameamua tu awe pedestrian, auze gari, tafuna hela tembea kwa mguu, panda daladala ukubali moja
 
Pole sana mkuu. Mimi pia niliuza kigari nikajenga mabanda nafanya ka-biashara angalau napata vihela kidogo vya kulisha familia

Yote ni maisha ndugu, haina shida.
Ila nimejifunza watanzania wengine washenzi tu, wakisikia unauza gari maneno watakayokuzushia mpaka utakoma. Mara utasikia jamaa kafulia, hana hela. Wengine watakuzuia usiuze gari utajishushia hadhi. Basi mpaka wanachekesha.
 
Mimi huwa sina utaratibu wa kuuza kitu changu hata kama nahitaji kingine ntapaki hapo ninunue kikingine ila siuzi kabisa

Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi na wewe naona tunafanana....nina kanissan kangu basi watu wananisumbua ooh hii gari haiuziki...jibu langu huwa simple...sijanunua ili niuze..nilinunua nitumie siku nikiwa na uwezo wa kubadilisha isipofika bei nina ndugu kibao wanaohitaji msaada...wataitumia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mzee mwenzangu gar haiuzwi hivyo[emoji23][emoji23][emoji23] unakusanya hela ya kuagiza mpya then ikifika unauza ya zaman hela yake ndo unatolea ile mpya[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tatizo wabongo tunapenda sifa sana, Mark X hapa mjini unafanyia nini? ENgine kubwa, matumizi ya mafuta makubwa, bei yake kubwa. Unaponunua gari cha kwanza jiulize kwa nini unanunua gari, au hii gari itanisaidia kwa shughuli zipi? 1. Movement kwenda ofisini na mishe za hapa town gari IST ilitosha kabisa. 2. Kama una shughuli kubwa kubwa za pori pori kidogo kama shamba tafuta gari kubwa lenye 4WD.

Pole sana sifa zimekuponza. Mimi nitafia na corolla yangu cc 1500
Aisee hizo ndio gari nilikuwa nikiziona uwani kwa mzee. By that time ilikuwa zinaonekana gari za maana kweli. Ila sahivi ninazipanda kama Tax hapa Mkoani. Aisee yani ni fupi na ziko chini dashboard ilivyoka na viti vilivyo vidogo utafikiri umekalia kigoda yani!
Sitaki kuongea vibaya ila Corolla gari ya ajabu sana mkuu. Walau hao akina Mark X seat zina manyama nyama kidogo japo zinakula mafuta.
 
Uko kama mimi ndg sahiz zimefika nne na nayotumia ni moja tu[emoji23][emoji23][emoji23] kwann niuze kitu nilichonunua kwa kupenda? Acha ibaki hata ukumbusho

Kikwetu kwetu tunaamini kuuza vitu vyako ulivyotoka navyo mbali ni kukaribisha umaskini bora hata ugawe kuliko kuuza(though kugawa gari ni next to impossible),ingawa sina uhakika kuhusiana na hii dhana lkn naamini kuna ukweli kwny hili.
 
jitafakari sana pale unapotaka kuuza mali yako, narudia jitafakari kama ndio kitu sahihi kabla hujauza nyumba, kiwanja ama gari au hata simu,
 
Aisee hizo ndio gari nilikuwa nikiziona uwani kwa mzee. By that time ilikuwa zinaonekana gari za maana kweli. Ila sahivi ninazipanda kama Tax hapa Mkoani. Aisee yani ni fupi na ziko chini dashboard ilivyoka na viti vilivyo vidogo utafikiri umekalia kigoda yani!
Sitaki kuongea vibaya ila Corolla gari ya ajabu sana mkuu. Walau hao akina Mark X seat zina manyama nyama kidogo japo zinakula mafuta.

Kuna ka corolla mwana mmoja anako no.AAT jamaa ametoka nako mbali na hakauzi ng'o amekatoa viti vyote kabakiza kiti chake tu,anaitumia hio corolla kubebea kreti za bia maana ana ka grocery na bero za mtumba huko kwny mishe zake.

Lkn akitaka kutoka kwenda batani ana gx 100 (cresta superlucent) anasema hio ndio ina afadhali kwake hahah.
 
Jamaa anajuta kweli, sio siri na ule msoto wa usafiri wa jiji la Makonda. Kama ulizoea gari ghafla ukawa huna runaweza kupata uchungu kuliko ule wa msiba.

Hahah washkaji wananunua passo/starlet/march/sio kwa kupenda ni ili kuondokana na adha tu ya usafiri hapa jijini maana kushika bomba daily si mchezo,though anajua atakua anapondwa/kuchekwa lkn potelea mbali hahah.
 
Back
Top Bottom