Kweliiiii kabisa. Hii ndio maana yangu. Hapo kuna tofauti ya 1000Cc
Hilo ni gari jingine ,[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
Best formula ya kubadili gari nunua kwanza hiyo unayotaka, then ndo uuze hiyo ya zamani. Zaidi ya hapo unatafuta aibu
Otherwise kama mtu ana mpango wa kuachana na gari kwanza ameamua tu awe pedestrian, auze gari, tafuna hela tembea kwa mguu, panda daladala ukubali moja