Najuta! Madada Poa wa Morogoro sio poa kabisa

Fundisho hilo lakini , ila wakulima wenzako mbona hawakogo hivyo sio wahuniwahuni kama wewe, wewe umepatwa na nini , au ujuaji mwingi
 
Yaani hadi pombe ukaenda nazo room kama vile demu wako? πŸ˜‚πŸ˜‚ Usirudie tena. Ukiona vipi we chukua room mbili.Moja weka kila kitu hadi simu, nyingine ndo mlale nyie. Na funguo ya hiyo room kaweke reception.
 
Haukufanyiwa budding?Maana ....!πŸ˜‚
 
Yaani hadi pombe ukaenda nazo room kama vile demu wako? πŸ˜‚πŸ˜‚ Usirudie tena. Ukiona vipi we chukua room mbili.Moja weka kila kitu hadi simu, nyingine ndo mlale nyie. Na funguo ya hiyo room kaweke reception.
Funguo zote acha nje mwambie Mlinzi mlango wenu afunge kwa nje mtemeshe 10 wewe nenda kale huyo Malaya asubuhi Mlinzi aje awafungulie mtoke huko gerezani, Hawa Malaya ukiwachekea wanakufanya kitu hujawahi kufanywa hawana huruma hata robo
 
Ilinikuta kahumba pale mwaka 2011. Nilichukua mdada fresh kabisa tukaenda gest pale pembeni, kwakuwa nilikuwa na hela nyingi na simu nikatundika suruali kwenye msumari wa mlangoni hela na simu vikiwepo.
Tukaenda bed kuanza libeneke,tulipiga game ya maana, demu akaanza kunikumbatia kwa nguvu huku analia , " mume wangu, mume wangu nipokeee, mume wangu nakojoaaa". Tukamaliza fresh.

Nikasema haya ngoja niondoke ( tulikuwa tumeshalipana kabla), nikaenda kutungua nguo yangu mlangoni niondoke... weee ile nazama mifukoni kucheki simu hakuna, pesa hakuna hata mia, na zilikuwa pesa za kununua vifaa site.
Namuuliza wewe pesa zangu zipo wapi? Anasema hata yeye hajui,si tulikuwa wote kitandani na hajaamka kabisa kama ninavyomuona( alikuwa bado kalala kitandani), tukawa tunagombana ndani mle, walinzi wa kimasai wakaja, wakanitishia kunichoma mikuki kama naleta fujo, demu akaondoka akaniacha ndani natafakari.

Nikaona sio kesi wacha niondoke zangu,nikatoka gesti kile kibarabara cha kutoka kahumba kutokelezea jengo la ccm.nikakuta wamejipanga wengi kikundi wanapena mchapo na yule changu akiwepo.nilipofika pale wakaangua kicheko, "heheeeee halo halooooo". Nilikasirika nikataka kuanzisha vurugu nikaona kuna mateja wamekuja kuwatetea nikaachana nao.

Ilivyokuwa... wakati yule changu kapandisha midadi kunibana kwa kumbato huku akinililia utamu kumbe huku nyuma changu mwingine alifungua mlango na kuingiza mkono kwenye mifuko ya suruali pale mlangoni na kuondoka na vilivyomo.

Tangu siku hiyo niliacha kwenda pale na miezi michache mbele nikaoa mke kabisa ili kuachana na huo ujinga wa kununua wanawake.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚Unatakiwa upigwe makwenzi mengi sana.Askari unaachaje SMG/LMG kizembe hivyo?Wasomali wakapita nayo.
 
Wewe ni mshamba na mpumbavu,,,,, kamwe usilale na malaya mpk morning,,, mkimaliza yenu mlipe asepe zake ,,,, pia cku hzi tututembei na hela ,,,50k ni nyingi sana kuwa nayo mfukoni ,,,,kuwa na kiasi kdg tu kwa emergency,,vingine lipa kwa simu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…