Najuta! Madada Poa wa Morogoro sio poa kabisa

Mmoja aliweka pesa ktk mkoba wa changudoa kisirisiri, demu usiku kaamka anaanza kusachi ili aibe aondoke, kakuta jamaa kalala fofofo, mabegi yake hayana hata mia.

Demu akaona huyu jamaa inamaana hata pesa ya kunilipa hana, itabidi amuamshe ili adai pesa usiku huo aone kama jamaa hana pesa ya kumlipa au kaficha wapi, jamaa alivyoamkq akamwambia demu lete mkoba wako, demu alijilaumu sana kukosa mapesa mengi vile, hakujua.
 
Hii inaitwa don't try this at home akikuotea utalia km Mbwa
 
Pole chief inaonekana bado hujafikia level ya kuwa mndewa kwenye tasnia husika,

Miaka hiyo! Nikiwa bado kijana wa makamo nasoma (advance) mwanza wilaya X shule X, nilikua na desturi nikifika stend enzi hizo stend ipo nata magari yanaingia usiku nilikua naenda sehemu moja hivi inaitwa makoroboi nang'oa mchuchu.

Sasa basi siku hiyo tuliingia Na bus night kali, wakati huo kulikua na viroba vya konyagi nilianza kuvinyonya maeneo ya Tinde kwaiyo mpaka nafika mwanza town nilikua nimeanza kuwaka. nikachukua room alaf kama kawaida nikaenda zangu makoroboi nakachagua pisi moja nyeusi tii na imeenda hewani hivi, namkumbuka hadi leo yule mwanaharamu.

Kilichotokea huko room baada ya kumaliza kuchakata mbususu nilipitiwa na usingizi wa ajabu uliosababishwa na ulevi, uchovu wa safari na uchovu wa kushindana na nilipotoka.

Nilipoamka asubuhi yule binti hakuwepo,

Kilichoniuma zaidi ni yule mshenzi aliondoka na nauli ya kunifikisha shule, Pocket money pamoja na ada enzi hizo tunalipa cash kwa muhasibu, na mimi nilikua kiongozi wa dini pale shule hivyo nilikua na michango ya graduation ya shule nayo alipita nayo.

Toka hapo sikulala tena na mademu wa kuokota mpaka sahivi, hivyo ndugu yetu apo na yeye kapata funzo.
 
Kwahiyo zile 40M umepigwa mzeee?
 
Bora umeibiwa, morogoro sio madawa tu. Angekuitia jamaa. Akutoe marinda
 
Tatizo vijana mkishachukua ma dada poa mna wa treat kikatili au mnatumia ubabe ili ajione yeye si kitu bali anakutumikia wewe, hapo akipata mwanaya lazima akuumize, kumbuka nao ni binadamu pia wana weza kuwa wema au wabaya kadiri wapendavyo..

Mimi nikisha opoa mzigo principle yangu ya kwanza ni lazima nihakikishe naimanipulate akili yake, napiga nae stori za kizushi hata za uongo najaribu kumuonyesha yeye anathamani, najaribu kumuonesha ninauwezo wa kumcontrol ila sihitaji kufanya hivyo, namtengenezea mazingira ya urafiki feki na maigizo mengineyo, nikihakikisha ame iva vyema hapo ndio naenda kula mzigo kwa amani kabisa, wengi wao next time huwa nakula bure tu au kwa kumpiga bia mbili tatu. Ila nikiona hatu sync ama hawezi kuwa manipulated kirahisi huwa naachana nae naweza nikaishia kumnunulia bia tu then kila mtu akafuata njia yake kwa amani kabisa.

NB: NIliwahi kuibiwa Simu na dada poa mara moja tu enzi hizo nilikua mnama tu
 
Unajifunza, malegendary siku hizi hatutembei na cash ni mwendo wa lipa namba tu, hata service chaji unamrushia na ya kutolea, kawalet unakuwa na senti mbuzi tu za kuzugia au dharura.

Chukuwa material hapa usiwe fala next time.
Kataka kuibiwa mwenyewe
 
DAAAAH MADADA POA/MABAAMEDI/MALAYA WANAOJIUZA ISEE HAWA MIMI PIA NILIKUA NAWAHUSUDU NA KUWACHEKA WANAOPATWA KATIKA ANGA ZAO ILA NA MIMI MWAKA HUU JANUARI YALINIKUTA ISEEER,MIMI NI BAHARIA HASWA ILA NILIPATIKANA,TO CUT A LONG STORY SHORT USIWAAMINI HAO VIUMBE NI MAJAMBAZI HASWAA HAWANAGA MAPENZI YA DHATI AONAPO HELA AU DALILI ZA UWEPO WA HELA NYINGI,VIFO VINGI VYA WAFAO MAGEST AU BAR HUSABABISHA WAO
 
Unakumbuka kisa cha Adam Malima akiwa Waziri wa JK, cha kuibiwa akiwa hotelini hukohuko Morogoro?

Ova
 
Unaonekana mshamba sana, mwanzo usitembee na hela nyingi.
Halafu usimbebe dada poa kwa nia kulala naye usiku wote, piga bao moja minyege ikutoke kisha muagane, kingine usinywe chochote mkiwa naye.
La mwisho na muhimu zaidi ya yote, jenga urafiki na mlinzi wa gesti, mwambie asiruhusu huyo dada kutoka bila ridhaa yako.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…