Bora kidogo cha halali kuliko kikubwa cha kukwapua ndugu! No regrets in LifeIlikuwa 2014 mgodini Bulyanhulu, Mimi nikiwa CCTV operator nilifuatwa na jamaa mmoja chamber akiniomba mida fulani ikitimia nizime camera ili wahujumu sehemu moja wapo ambayo ina hifadhi mali.
Point zote walishakubali Mimi pekee ndiye nilikataa.
Jamaa walinimind sana na kusema wakinidaka mtaani nitaisoma. Yaani nilikuwa lofa sana kuipigania mali ya mzungu kwa malipo ya mshahara kiduchu.
Jamaa waliweka advance ya sh. milioni 10 mezani nikaziogopa.
""Golden chance never come twice""Bora kidogo cha halali kuliko kikubwa cha kukwapua ndugu! No regrets in Life
Anawaona wenzie waliokubali mchongo wanavyoponda maisha!Shukrani za punda ni mateke....
Kuna kitu kimempa msukumo wa kujutia UZALENDO wake....
Hii comment niliandikaga zamani SANAA.Anawaona wenzie waliokubali mchongo wanavyoponda maisha!
Yeye akaona kuliko mali ibaki nchini ni bora kwake azilinde mzungu azichukue azipeleke kwao!!
Anavuna alichopanda!
Muongo muongo sana.Ningetamani kuchangia kitu, lakini huyu jamaa ana nyuzi nyiingi zinazokinzana, hii ilikua baada ya kuacha kazi TANAPA au kabla ya kupata kazi TANAPA?
Kwani na mi si ninamuhujumu tu kwani kanilazimisha nisimujumu.Acha kazi kwani umelazimishwa?