Najuta nikikumbuka nilivyokataa kuzima kamera ili wezi waibe mgodi wa Mzungu

Najuta nikikumbuka nilivyokataa kuzima kamera ili wezi waibe mgodi wa Mzungu

Baada ya Acacia kuachia uongozi watu weusi chini ya operator Landgold imekuwa vituko sana , sisi watu weusi ni wezi mno .
Sasa angalia mpaka watu wanaiba wanaficha mabilioni tena senior managers Tu .
Mpaka wanahatarisha maslahi ya wafanyakazi wengine hasa waliokuwa chini ya contractors Maana contractors
WA drilling nk wanang'oa mashine kabisa na kupunguza wafanyakazi ,hii sio indication nzuri ,tabia za kipuuzi hizi
 
Ilikuwa 2014 mgodini Bulyanhulu, Mimi nikiwa CCTV operator nilifuatwa na jamaa mmoja chamber akiniomba mida fulani ikitimia nizime camera ili wahujumu sehemu moja wapo ambayo ina hifadhi mali.

Point zote walishakubali Mimi pekee ndiye nilikataa.

Jamaa walinimind sana na kusema wakinidaka mtaani nitaisoma. Yaani nilikuwa lofa sana kuipigania mali ya mzungu kwa malipo ya mshahara kiduchu.

Jamaa waliweka advance ya sh. milioni 10 mezani nikaziogopa.
Bora kidogo cha halali kuliko kikubwa cha kukwapua ndugu! No regrets in Life
 
Shukrani za punda ni mateke....

Kuna kitu kimempa msukumo wa kujutia UZALENDO wake....
Anawaona wenzie waliokubali mchongo wanavyoponda maisha!
Yeye akaona kuliko mali ibaki nchini ni bora kwake azilinde mzungu azichukue azipeleke kwao!!
Anavuna alichopanda!
Atakufa masikini huku akijilisha upepo wa uzalendo.
 
Anawaona wenzie waliokubali mchongo wanavyoponda maisha!
Yeye akaona kuliko mali ibaki nchini ni bora kwake azilinde mzungu azichukue azipeleke kwao!!
Anavuna alichopanda!
Hii comment niliandikaga zamani SANAA.
Huu Uzi una makachero maana huwezi futa comment ukiandika nadhani ni kwa faida ya umma
 
Back
Top Bottom