Najuta sana kuharibu ndoa ya huyu jamaa. Nitumie mbinu gani kumuomba msamaha?

Na wao wanafanya ila wanawaza hawatashikwa. Ila kwenye jumbe na majadiliano Kama haya huwa watu wanabadilika!
Watu hawajawahi kubadilika...hii story itamtisha kidogo kwa siku mbili tatu baada ya wiki kashasahau anadunda mule mule. Ndivyo binadamu tulivyo.
 
unajuta wapi wewe , miaka 3 yote hukujua ulichokua unafanya dawa yako itakufikia utakoma na uache unaa na wako nae akiliwa unaenjoy sio
 
Wale watu kwenye maandiko walimpelekea Yesu mwanamke mzinzi wakitaka Yesu awaunge mkono kumpiga mawe,

Lakini Cha ajabu hawakuja na mwanaume aliyelala naye 😀😀
 
Watu hawajawahi kubadilika...hii story itamtisha kidogo kwa siku mbili tatu baada ya wiki kashasahau anadunda mule mule. Ndivyo binadamu tulivyo.

Inasikitisha; Hauamini kabisa kwa Msaliti kubadilika? Unaamini pakitulia ataendelea?
 
Duh nimefurahishwa na comment nyingi humu
Wanawake wajue kwamba hata Kama mwanaume anacheat na wewe Ila hapendi mwanamke anayecheat
Ukiwa unacheat lazima ujiandae kisaikolojia kuwa hapa ikijulikana uwezekano wa kuachwa/kuuliwa ni asilimia 99. Wanawake wengi wanaocheat wameshajiandaa kwa hilo, ambae hajajiandaa ana matatizo ya akili.
Binafsi siwezi cheat kama bado namuhitaji sana huyo mtu niliye nae.
 
Dah!...we jamaa una mrengo mkali sana wa kihafidhina kwenye mahusiano.
 
Maungamo yana malipizi yake - kuwajibikia uovu wako.

Mungu aliwasamehe Adam na Eva, lakini aliwafukuza Eden na mpaka leo vizazi vyao tunarithi matokeo ya matendo yao.

Daudi alisamehewa na Mungu baada ya kumla mke wa Urio, lakini laana ilienda mpaka kwa vizazi vyake.

Mifano ni mingi.

Kujutia kwake:
  • Hakutabadili fact kuwa amemtombea jamaa
  • Hakutabadili fact ya kuharibu ndoa ya jamaa
  • Hakutarudisha imani ya jamaa kwa mkewe, n.k.

Awajibike.
 
Inasikitisha; Hauamini kabisa kwa Msaliti kubadilika? Unaamini pakitulia ataendelea?
Wapo wanaobadilika lakini ni wachache. Na hii story inaweza isimbadilishe mtu yoyote...na kuna mtu humu aliyecomment baadae anaenda kumla mke wa mtu
 
Dah!...we jamaa una mrengo mkali sana wa kihafidhina kwenye mahusiano.
Ni suala la kukubaliana na reality on the ground mzeya. Wake zetu wanagegedwa huko maofisini ni mwendo wa kushare tuu hizi mbususu. I am totaly against the falacy ya kwamba mwanamke hana matamanio ya kuonja de liboloz tofauti tofajti kama zie wanaume tunavyopenda kuonja mbusush tofauti tofauti. Huo ni ubinadamu na tuishi nao.

Furthermore...mtu anagegeda mke wa mtu kwa miaka mitatu alafu akishikwa ndio anasema anataka kuomba msamaa....we can not and should not accept such lame excuses
 
Hizi comments za humu zinafurahisha sana. Eti wanaume wote walio comment hapa kasoro mzabzab hawajawahi kabisa kula mke wa mtu, leo wana mkana mwenzao. Maajabu haya
Umeona tulivyokuwa wanafiki. Mie ndio haya mambo ya ayonikera sometimes kuhusu sie wanaume.
Wee mke wa mtu akijilengesha mgegede bwana sii ndio anachokitaka na mnaenjoy wote.
Alafu ufala wa kumlawiti mwanaume mwenzio eti kisa mmeo kampa mbususu bila kubakwa ndio upuuzi katika upuizi wote duniani.

Anyways vipi mrembo. Sii tunakuta pale baadae nile tamuu ya mumeo😜
 
Hebu nipishe...
 
Mwanaume kusamehe kwa hayo mambo hua ni ngumu

Muoe huyo ex wife uendelee nae mliyokua mnayafanya
 
Ni kawaida kujuta baada ya madhara kutokea.
Ndio ajute na kukaa kwa password mwanamke kamkalia kimya hapo ina maana amesharealize nani wa muhimu kwake. Huyu ameona hatafutwi so ule usweetheart aliokuwa anausema akijiona yeye ndio mwamba anaona tofauti sasa. Ukweli ndio huu na ndio inayomuumiza we unadhani huyo mwanamke angekuwa anamtafuta huyu jamaa angekuja kujiliza huku? Si ndio angekuwa anajiona mwamba na amepata ya burebure kabisa maana sio wa kuia na amemkubali jamaa??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…