Najuta sana kuharibu ndoa ya huyu jamaa. Nitumie mbinu gani kumuomba msamaha?

Hasira nyingi sana mzee [emoji23][emoji23] na wewe umeumizwa?
 
Kuna ule msemo unasema malipo ni hapahapa duniani
pole sana
 
Hayo ni.maji yaliyomwagika , kitendo cha kwenda kuomba msamaha nikumuongezea maumivu mshikaji na kuzithibtsha kuw ni kweli for longer
 
Alafu eti namba ya x wake hana!! Inafikirisha hii
 
Wale watu kwenye maandiko walimpelekea Yesu mwanamke mzinzi wakitaka Yesu awaunge mkono kumpiga mawe,

Lakini Cha ajabu hawakuja na mwanaume aliyelala naye [emoji3][emoji3]
Mwanaume mwenye si ndio huyu [emoji23][emoji23][emoji23] wamejilekebisha sasa, saaii wamemtanguliza
 
Wewe si ni single Mather njoo tuishi hapa
 
Wapo wanaobadilika lakini ni wachache. Na hii story inaweza isimbadilishe mtu yoyote...na kuna mtu humu aliyecomment baadae anaenda kumla mke wa mtu

Unasikitisha, ila ndo ukweli
 
Ila wanaume bwana!! Si huwa mnapigia chapuo kuchepuka eeh!! Haya sasa mbona leo mnamgeuka mwenzenu🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…