Wewe ni mhalifu tu, wala hujitambui uzi hu huonyesha unapenda kulelewa Mario.Wanaume wenzangu yani hawa wanawake wakikukosa sehemu ya mapenzi,pesa basi wanatumia vyeo vyao kutusurubisha.
Nilipataga mdada mmoja simple na haya yote na mlaumu athumani wangu wa chini kutawala akili kuliko ubongo wangu.
Baada ya kuchokana kazi ikaanzia hapo sasa.
Kila kukicha naletewa polisi wenzake kuja kunikamata.
Ilibidi nikimbie mkoa na kuwa na namba mpya.
Kwa muandiko wako 70% we ni mtu wakishinda vijueni mvuta sigara au bangi mtu wa dili asie kua na kazi maalumu, pinga hilo kwa kutuambie kazi gani unafanyaUkiona mtu anajua mambo ya uchawi tambua na yeye ni mchawi.
Sasa mario uliyopo unazani wenzako ni wale wale.
Gentleman,Wanaume wenzangu yani hawa wanawake wakikukosa sehemu ya mapenzi,pesa basi wanatumia vyeo vyao kutusurubisha.
Nilipataga mdada mmoja simple na haya yote na mlaumu athumani wangu wa chini kutawala akili kuliko ubongo wangu.
Baada ya kuchokana kazi ikaanzia hapo sasa.
Kila kukicha naletewa polisi wenzake kuja kunikamata.
Ilibidi nikimbie mkoa na kuwa na namba mpya.
namba mpya inasaidia nn usikamatwe
Labda awe amekusajilia bibi Yako na marafiki wa karibu wasiijue na akija kujua anakubandikia KESI ya TCRA
Maskini bwana yani umenuna kuona wenzako tumekojolea pazuri palipo na cheo.Kwa muandiko wako 70% we ni mtu wakishinda vijueni mvuta sigara au bangi mtu wa dili asie kua na kazi maalumu, pinga hilo kwa kutuambie kazi gani unafanya
hii ndio pointiPiga mashine sawasawa acha utoto
USSR