Najuta sana kuwa na mahusiano mwanamke askari mwenye cheo

Najuta sana kuwa na mahusiano mwanamke askari mwenye cheo

Wanaume wenzangu yani hawa wanawake wakikukosa sehemu ya mapenzi,pesa basi wanatumia vyeo vyao kutusurubisha.

Nilipataga mdada mmoja simple na haya yote na mlaumu athumani wangu wa chini kutawala akili kuliko ubongo wangu.

Baada ya kuchokana kazi ikaanzia hapo sasa.
Kila kukicha naletewa polisi wenzake kuja kunikamata.
Ilibidi nikimbie mkoa na kuwa na namba mpya.
Punguzeni Ufundi, acha na akiba.
 
Back
Top Bottom