NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma

Watu wasioongea ni hatari sana. Anaweza kuwa zake kimya kumbe kuna mambo ya kutisha yanaendelea kichwani mwake.
Kabisaaa,ogopa sana,
Mke wake angekua muongeaji angeshamsamehe.
Watu wakimya wana vinyongo vikali sana
 
Mimi sio mwanaume laini nafanya maamuzi Kwa kuangalia reaction ya mwanamke..

Huyo anatakiwa apelekewe moto Hadi akili zikae sawa.
Mke wake ni aina ya watu wasiojua kusamehe...ukiachana na ishu kwamba tayari kosa limefanyika...,
Yaani wapo hivyo na hapo uenda ana miradi yake pembeni hahahaha
Aisee dhambi uzaa mauti
 
Mke wake ni aina ya watu wasiojua kusamehe...ukiachana na ishu kwamba tayari kosa limefanyika...,
Yaani wapo hivyo na hapo uenda ana miradi yake pembeni hahahaha
Aisee dhambi uzaa mauti
Hii kitu usiombe ikukute, utasamehe lakini inachukua muda sana kurudi normal.
 
Igeuze hii story iwe mke kazaa nje halafu usome comments za wadau, uniambie kama shit happens.

Miss you too babe, kesho nitakucheck
Mkee akizaa nje hapa itakua ni story za kimalaika.....ukishawajua you just put them somewhere down to suck your ass babe
 
Mpeane talaka msituchoshe.
Submissive husband acha kulia lia.
 
Hapa ndo utajua umuhimu wa kukana kosa, hakuna KE hawapendi Kama ukiri kosa[emoji4]
 
[emoji16][emoji16]mpka ufike 70,mimi wangu wawili wote anawajua istoshe mmoja nahalalisha awe mke mdogo uwoga sina
 
Siku zote ukitaka kuoa usioe mbali na kwenu ni rahisi kujua kma familia ya mwanamke inashida...unaweza kuoa ukaishiwa plus matatizo mpka uwe kapuku
 
Umemaliza chuo halafu hujui kiswahili, hujui wapi uweke L na wapi uweke R.

Utakuwa umefilisika kwasababu ya uandishi wako na siyo kuzaa nje.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…