NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma

Hakika ni fundisho tosha kwetu sote najaribu kuvaa viatu vyako sitamani kabisa lije linitokee hili
 
Siku zote ukitaka kuoa usioe mbali na kwenu ni rahisi kujua kma familia ya mwanamke inashida...unaweza kuoa ukaishiwa plus matatizo mpka uwe kapuku
Ndugu yangu acha kabisaa, kiukweli walinipukutisha sana.

Ila Mungu kaamua niinuke na nimeanza kuinuka.

Nia yao ilikuwa kunipoteza maana walishaniulia mtoto
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] daaah ndio matako tena
 
Kitendo cha kusema mswahili tena mswahili hasaa"""Mimi duu ndio nimezaa na huyu""""kinaonyesha wewe bado mtoto kiakili na huyajui maisha ndio maana unadharau watu wa kipato cha chini wanaoishi huko unakokuita uswahilini....Hv unaijua kesho yako na kesho ya huyo mtoto?????
 
Kwahiyo home kwenu hakuna waswahili au kwa umri wako bado unaongozwa na mama kutokea home?????? Na unaposema waswahili unamaanisha watu wanaoongea kiswahili au watu wa kipato cha chini?????
 
Mkuu mtu anaposhambulia maisha ya uswazi ambayo yametukuza sisi na tukatusua namuona bado mtoto.

Anyway nisikulaumu sana mwisho wa siku wewe ni mtoto wa mama umetokea familia bora.

Ningekushauri ila kitendo cha kupondea maisha ya uswahilini kama unavyoyaita nimegundua wewe ni mtoto kiakili...
 
Huwezi kujivunia mazingira duni hata kama yamekukuza.

Hakuna mtu angechagua maisha duni endapo angepewa nafasi ya kuchagua
Hakuna mazingira duni duniani ila kuna tofauti za mazingira...Hatuwezi kufanana so haina haja kupondea mazingira tofauti na yako....
 
Naona mnajaribu kumpa moyo mwenzenu kuwa ni kawaida. Yes ni kawaida, lakini SI KWAKE. Dhamiri yake iko hai ndo maana inamshtaki. Na dhamiri ikikushtaki si rahisi mambo yakaenda. Anajiona amelose pakubwa...
Imebidi nizoom mpka avatar yko[emoji4]
 
Isomwe na michepuko, dada hafai tena wakati alikusitiri, ulivyo na roho ndogo ukijua wife nae ana kamchepu kake au akikubambikia mimba tunakuzika,, pambana na hali yako
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mwisho wa siku mwanao ni damu Yako na mke ni rafiki Yako na wala hata sio ndugu Yako, damu Yako ni muhimu kuliko hata huyo mke wako

Sent from my Infinix X6511B using JamiiForums mobile app
 
Weee ni chizi unataka akuamini ili upate nn ivi wanaume wa sikuizi mmekuwa wenddawazimu
 
Kwa kifupi mwanao ndyo ndugu yako, msimamo waako ndyo nguzo yako sikuonaa umuhimu wa mke kumwambia Bali uwogga wako na ujinga wako kama mama yako yupo mpeleke mtoto akakae na mama yako na uwe unawasaliana naye mara kwa mara iyoo ndyo damu yako ni ujinga na upumbavu kutelekeza damu yako kisa mkeo atajua aisee acha kumuogopaa mkeo na usiogope kuvunja ndoa pale akikulipizia bila ivyoo utatesekka sana kwenye iyoo ndoa sijui kkwanini wanaume mlioowa wanawake wanaofanya kazi mmekuwa wanyongge sana ndani ya nyumba.

Ushauri mwingine kuwa makkini na mkeo kama bado ana kinyongo naa wewe tegemea kutombewa na kuletewa mtoto wa nje , wewe ni kichwa cha familia kuwa mwanaume acha unyonge
 
Inaumiza hakika,ila mke wake inabid amsamehe tu,maana hayupo tayari kuachana nae
Atasamehe but not so soon, pia itategemea na mwenendo wa mumewe, akizidi kumvuruga na yeye ataendelea.
 
Fukuza
Fukuza uyo mke afu oa mchepuko simple like that...unaangaika na mke mbinafsi WA nn acha ujinga ww..

Afu inaonekana akili huna unashikiwa na uyo mke wake ndio master mind WA maendeleo thus why amekususa umedorora...ww ni mtoto wa kiumebna sio mwanaume Kwa hzo tabia zako..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…