NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma

Mfate mama yako akushauri tena kama ulivyomuomba mwanzo
 
Matatizo ni mawili tu hapo.

1. Kumtegemea mke katika kipato
2. Kuwa vuguvugu na kukosa akili ya mahusiano. (Walokole huwa na hili tatizo)

Suluhisho ni moja tu.
1. Kuwa mwanaume mwenye uwezo wa kujisimamia kifedha na kimsimamo.

Kila la heri.
Ewaaaa
 
Reactions: Tsh
Afadhal wewe mtoto uko nae.wengine watoto wako mbali na bado mikazo kama kawa....mtoto wako ndo ndugu yako.punguza masononeko ufe kabla ya wakat.
 
Bro
Anglia mwanao bro wanawake siyo wa kuwaamini maisha,
 
Kastory kanafananq na changu ila tofauti mimi sijazaa nje
 
Sema na wew ulizingua parefu sana, hapo ulipofika ni kutegemea huruma za mkeo tu,

Kwa mnaochepuka, ukizaa hakikisha mke hajui, masuala ya mtoto kuzoeana na wenzake wew acha atakuja kujuana wakiwa wakubwa kama hawataki kuzoeana bas hio shida yao,
 
Mitoto nayo kulelewa na Bibi na Babu huwaga penati penati... anaweza kufyatuka kimalezi au kunyooka.
 
"Mwanangu Kindikinyer siku ukiwaza kuoa hakikisha umeushirikisha vizuri ubongo wako, na uwe umefunga vyotee na kujua kweli sasa nina mke, usaliti unaumiza sana ndani ya ndoa" baba yangu alipata kisema haya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…