NAJUTA SANA: Nilizaa nje ya ndoa, mke wangu haniamini tena. Natamani siku zirudi nyuma

Eti kuleta mtoto ni vizuri kuliko maradhi..kwa hiyo hapo anatakiwa ashukuru Mungu hakuletewa Ukimwi[emoji1787]

Haki acha tu wababa waendelee kuona kuchepuka hadi kuzaa ni haki yao..sio kwa mentality hii[emoji119]
 
Mimi nimempenda sana mke wa jamaa kapiga zake kimya kama hayupo vile.
 
Ninachoona hapa ni mwanaume anayelilia kutumia hela ya mke wake...Pambana mwenyewe,mwanamke akusaidie au asikusaidie haitakiwi kubadili kitu kwenye hustles zako za maendeleo....Kaza,tafuta michongo,simama mwenyewe,akiona mambo yanaenda bila kuulizia ushiriki wake atajirudi tu as long as ushamuomba msamaha.Hela yake ni yake tu hata akiamua kua anajenga kwao au anaitumia mwenyewe hautakiwi kuhoji na kuipigia hesabu kama unavyofanya.
 
Tatizo kubwa nalo liona kwako ulikuwa mtekelezaji wa mipango ya familia na si mtengeneza mpango, that why mtengeneza mipango alipo acha kukushirikisha umeshake.
Tulia mobilize resources tengeneza mipango ya familia, hutaendelea kujuta.
 
Kuna kosa mke wako alilifanya ambalo ninkama alikusaidia kuchepuka....alikaba majukumu mengi kiasi kwamba ikawa unabaki na hela za kuonga hovyo na kichwa chako kilikua chepesi Kwa sababu ulikuwa unasaidiwa majukumu... Ukawa unapata room ya kuwaza uzinzi.
Mama mkwe wangu wakati naolewa aliniona show ninayopiga....nabeba majukumu kibao akaniambia....mwanaume anatakiwa aoambane,atoe Hela yeye hata akiishiwa wewe ndo ukabe....usimpe dezo,atyabaki nazo nyingi mwishoe atatafuta majukumu mengine huko nje,ki ukweli SI kumuelewa ila nilikuja kumuelewa baadae.
Kama ulikua na ugwadu sana kipindi Cha ujauzito WA mkeo SI angekupa hata blowjob au piga hata masta....

Uzinzi unagharimu sana
 
Sasa hivi anaona kama anaonewa coz mwanzoni alisaidiwa majukumu
 
Mimi nimempenda sana mke wa jamaa kapiga zake kimya kama hayupo vile.
Afu mim siwezagi hiii,,,,ukauzu huo daah yaani ndo maana unaambiwa ogopa watu wapole wakiamia jambo lao...
Bora sisi waongeaji mtu anakujuabunacjowaza hapo jamaa anateseka na vingi kwanza hajui mke wake anachowaza
 
Tatizo kubwa nalo liona kwako ulikuwa mtekelezaji wa mipango ya familia na si mtengeneza mpango, that why mtengeneza mipango alipo acha kukushirikisha umeshake.
Tulia mobilize resources tengeneza mipango ya familia, hutaendelea kujuta.
Watu wako tofauti,Kuna wanaume Wana pesa au wanawake niseme Kwa jumla...ila kupanga hiki au kile hawezi na alipanga akifikisha mbali,Mungu katuumba tofauti..
 
Mweeee am out of here..
 
Dah mungu nisaidie mimi mja wako.... Sijui nikija kuoa nitakutana na fungu gani.[emoji58]. Siwezi kumcheka mleta mada ilihali sijavuka mto
 
Afu mim siwezagi hiii,,,,ukauzu huo daah yaani ndo maana unaambiwa ogopa watu wapole wakiamia jambo lao...
Bora sisi waongeaji mtu anakujuabunacjowaza hapo jamaa anateseka na vingi kwanza hajui mke wake anachowaza
Watu wasioongea ni hatari sana. Anaweza kuwa zake kimya kumbe kuna mambo ya kutisha yanaendelea kichwani mwake.
 
Eti kuleta mtoto ni vizuri kuliko maradhi..kwa hiyo hapo anatakiwa ashukuru Mungu hakuletewa Ukimwi[emoji1787]

Haki acha tu wababa waendelee kuona kuchepuka hadi kuzaa ni haki yao..sio kwa mentality hii[emoji119]
Kila mtu ana kile achoona kinaafadhali kwake.
Kama ww unaona Ukimwi na mazaga yote ni bora kuliko mtoto ni sawa.
 
Utoto unakusumbua unatakiwa kukuta zaidi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…