finance2014
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 314
- 79
Mimi nikinywa vitu vya baridi kama maji, soda kesho yake naamka na mafua nini tatizo na je tiba yake ni nini au nimepata allergy?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Una fungus kwenye kucha unahitaji terbinafine(oral antifungal) na penlac upake kwenye kucha!Kila la kheri
Una fungus kwenye kucha unahitaji terbinafine(oral antifungal) na penlac upake kwenye kucha!Kila la kheri
Fungus inaweza kuwa kidole kimoja.Labda useme una tatizo jingine!Mama, nataka nikuakikishie Mimi sina fungus. Fungus gani inakuwa kidole ki1 kwa kila mguu? Tena kidole cha kati? Tatizo linapoanza halianzii nje, linaanzia ndani wakati kucha inapoota, inatokeza ikiwa imeoza/bungua baada ya kama miezi miwili inakuja kama kawaida.
Akifanya mazoezi moyo unaenda mbio,vipi kuhusu kupumua?Anapatwa na maumivu kwenye eneo la kifua!Mkuu kilo zimeongezeka sanaa kwa mdogo wangu toka 75 hadi 89, njia hipi ni nzuri ya kupunguza mwili?? maana mazoezi yanazidi kufanya misuli itanuke..!! Pili moyo unaenda mbio unaweza ukafululiza hata siku tatu na jamaa yupo anatembea na kufanya shughuli zake kama kawaida ila akinywa pombe tu hali inatulia tatzo ni nn??
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mazoezi mazuri ya kupunguza uzito ni jogging hapo unapunguza uzito wa mwili mzima.Namshauri asianze kufanya mazoezi mazito ghafla aanze taratibu kisha aongeze uzito wa mazoezi kama mfano siku ya kwanza akimbie 10 mins apumzike,then tena 10 mins apumzike ...kwasababu mwili haujazoea kufanya mazoezi atapata shida mwanzo lakini siku zikienda unazoea.....mwisho ataona kila kitu kinaenda smoothly.Ni vizuri pia akijipush beyond his limits yaani ukitaka mazoezi yafanye kazi pale unapojiona umechoka ndo unatakiwa ujipush!Hapana inatokeaga tu na hali hiyo inaondokaga yenyewe bila hata kutumia dawa, maumivu kasema hapana, na kupumua anapumua vizuri tu
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mazoezi mazuri ya kupunguza uzito ni jogging hapo unapunguza uzito wa mwili mzimNamshauri asianze kufanya mazoezi mazito ghafla aanze taratibu kisha aongeze uzito wa mazoezi kama mfano siku ya kwanza akimbie 10 mins apumzike,then tena 10 mins apumzike ...kwasababu mwili haujazoea kufanya mazoezi atapata shida mwanzo lakini siku zikienda unazoea.....mwisho ataona kila kitu kinaenda smoothly.Ni vizuri pia akijipush beyond his limits yaani ukitaka mazoezi yafanye kazi pale unapojiona umechoka ndo unatakiwa ujipush!
Karibu sana na kila la kheri mkuuAsante sana. Mungu akupe maisha marefu zaidi hapa duniani na yenye mafanikio.
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Huna allergy!Epuka kunywa vitu vya baridi kama vinakusababishia mafua!Mimi nikinywa vitu vya baridi kama maji, soda kesho yake naamka na mafua nini tatizo na je tiba yake ni nini au nimepata allergy?
Hello mama,Ni Mwanamke mwenye miaka 47. Hakuna feelings za tendo la ndoa. Uke unakuwa mkavu wakati wa tendo hata maandalizi yaweje. Msaada wako tafadhali
Nadhani tatizo lako unalijua mkuu...Unakuwa una anxiety na una stress....Je mlishawahi kujamiiana kabla?Hali hii ilishajitokeza au inajitokeza kwasababu hamjawahi kukutana kimwili!!doc. tatzo langu nikichat na shemeji yako, dhakari inasimama lakini nikiwa naye nashndwa kusimamisha hata tendo lenyewd linaweza lisifanyike, sijaelewa tatizo ni nini, msaada wako ni m,uhmu dokta
Nutritionists watakuwa na ujuzi zaidi wa hili au trainers!!Kwa watu wanaofanya mazoezi makali hawahitaji zaidi 2g per body weight of protein per day.Ukitumia zaidi ya kiwango hiko hutanufaika na chochote.Ni muhimu pia ukitumia vyanzo asilia vya protein kama nyama,samaki,kuku,mayai n.kMkuu Mimi nataka kujua athari za body supliments powders (proteins) kama BSN mass gainer na ipo inafaa kwa watu wembamba ambao hawana mafuta kabisa wanatka kujenga mwili hasa sehemu za kifua na mipaja hadi miguuni
Nutritionists watakuwa na ujuzi zaidi wa hili au trainers!!Kwa watu wanaofanya mazoezi makali hawahitaji zaidi 2g per body weight of protein per day.Ukitumia zaidi ya kiwango hiko hutanufaika na chochote.Ni muhimu pia ukitumia vyanzo asilia vya protein kama nyama,samaki,kuku,mayai n.k
Ni muhimu pia kula vitu vyenye protein kabla na baada ya mazoezi changanya na carbohydrates + maji ya kutosha,kwasababu carbohydrates(mf mtindi/peanutcream/mkate) inaongeza release ya hormone ya insulin mwilini ambayo inasaidia misuli kuchukua amino acids kutoka kwenye proteins.
Ukizidisha kiwango cha protein kukithiri haswa inaongeza risk ya mtu kupata matatizo ya moyo na high cholesterol.