Nakaribisha maswali kuhusu Tiba / Dawa

Ulitumia dawa gani? Lakini pia ulifanya full blood picture? Kama ni ndiyo utanitajia dawa ulizotumia tuone tunafanyaje
 
Nakupongeza kwa nzuri: Tatizo langu natetemeka na mwili kuwa moto hii Mara ya pili Mara ya kwanza nilitumia panadol nikapona kabisa toka hapo nikawa nimeenda Njombe nimekaa kikazi muda wa mwaka mzima lakini sikuumwa nimerudi Morogoro joto nimeanza kuumwa nimeenda kupima malaria na taiphod dakitari kanambia sina malaria wala taiphod. Ila kanambia niende hospatali kubwa naomba msaada wa Tatizo itakuwa nini
 
Habari,

Mtoto wangu juzi alitokewa na kama kijipu fulani hivi,jana kikawa kimeiva na nikamkamua

Cha ajabu katoka mdudu mzima kabisa na anacheza cheza kabisa,mdudu ni kama funza hivi ,na leo nmemkamua tena kitu hicho hicho tena na kuna sehemu mbili naona kila dalili kama cha jana na leo.

Naomba msaada kujua ni ugonjwa gani na chanzo kinaweza kuwa nn pamoja na tiba
 
PID hiyo
Mi pia nimeteseka sn
Kila wakati UTI inajirudia

Mmeshatumia dawa gani?
 
Tumia aloe vera
 
Umetumia dawa gani ?
Je una kisukari pia?
dokta ubarikiwe. mama angu ana tatizo la mifupa, yaani inampekecha miguu na mikono. inapelekea kukakamaa. nini tatizo

Njoo Sterica clinic hapa Ubungo, kwa kipimo bei ndogo kisha nitakupa dawa halisi. +255767440707 mawasiliano ya clinic ipo nyuma ya Mic Hotel karibu na stand ya zamani ya ubungo (mabasi ya mkoa)
 
Je una kisukari pia?



Njoo Sterica clinic hapa Ubungo, kwa kipimo bei ndogo kisha nitakupa dawa halisi. +255767440707 mawasiliano ya clinic ipo nyuma ya Mic Hotel karibu na stand ya zamani ya ubungo (mabasi ya mkoa)
Sina chochote zaidi ya vidonda tena ndo vinaanza!
Asante nishapata solution.
 
Naumwa lip lips cheilitis yaani ngozi ya lips inabanduka excessively ukiimwagia maji inakua kama ukoko wa ugali ulio lowana then inatoka ile mpya inakua kama ya mwanzo after two to three days na ina follow the same way huu ni mwaka wa nane sijapona nishazunguka kila kona ila kuna doctor alinambia ni cheilitis nikapewa na dawa but mwezi mzima nimezitumia sijaona mafanikio dawa inaitwa tacrolimus oitment ,naombeni msaada wenu dawa nzuri itayo niponya mapema na mimi niwe mtu, kuhusu ugonjwa mwingine sina kabisa ni huu tu, msaada tafadhali
 
[emoji273]MATUMIZI YA POWER RIJAR :

[emoji91]Tumia kijiko cha chakula 1 X 2 kwa siku
(KABLA YA KULA CHOCHOTE TULIA DAKIKA 10-15)
[emoji91]Huchanganyi na chochote unatumia kama iliyo
[emoji91]Dozi ni siku 15 Tu (inategemea na ukubwa wa tatizo)
[emoji91]Matokeo yanaweza kuwa haraka au mpaka mwisho wa dozi kutegemea na Hormonal reaction
[emoji91]Tingisha Chupa ya dawa vizuri kabla ya kutumia

#ZINGATIA: Kama umekunywa POWER RIJAR saa 1:00am asubuhi hakikisha unakunywa POWER RIJAR saa 1:00 pm usiku

Gharama ya POWER RIJAR ni nafuu sana
Dozi ni 35000TSH TU
Manzese mkunguni street: DAR [emoji1241]
 
MAAMBUKIZI YA VIRUSI (IKIWEPO PIA KANSA /SARATANI)

DALILI—homa, maumivu ya misuli, viungo, baridi na maumivu ya kichwa.

SABABU-Virusi vinaweza kuwa kwenye hali mbaya sana. Maambukizi ya virusi ni pamoja na homa ya kawaida, surua, tetekuwanga, mumpus, tonsillitis, saratani (kansa). croup, kuambukiza hepatitis, mononucleosis, uti wa mgongo (spinal meningitis), pumu, na maambukizo fulani ya kibofu.

Antibiotics hupambana na uvamizi wa bakteria, lakini haina nguvu dhidi ya maambukizi ya virusi. Kuna dawa chache za antiviral ambazo zinafaa. Kinyume chake cha ajabu, mwili hutumia aina zile zile za ulinzi wenye nguvu - kupinga na kushinda majanga ya bakteria na virusi ! .hivyo usaidie mwili wako kushinda vita.Mungu ameweka
Ulinzi thabiti dhidi ya magonjwa ndani ya kila mmoja wetu. Tunaweza kuzidai kikamilifu zaidi ikiwa tunaishi kulingana na sheria au kanuni za afya.

Remwdies/Dawa
AloeTFCG
 
Abari za saiz dokta pamoja na dugu wote humu jf naomba msaada n vyakula gan au nn nitumie kupunguza damu mwilin imekuwa nying mpaka naumwa kichwa mara kwa mara nimepima iko 19
 
Kauliza kuhusu mawe kwenye mfuko wa nyongo sio figo.
 
Habari zenu ndugu zanguni.

Swali: mwanamke miaka 27 mjamzito (miezi 2,mimba ya kwanza ) ila bado anapata matone kdogo ya damu kuptia njia yake ya haja ndogo...je tatizo linaweza kuwa ni nn? Na nn suluhisho la tatzo husika japo mimba haijatoka

Sent from my KYV40 using JamiiForums mobile app
 
Inaweza ikawa infection, abortion au mimba zabibu, n.k.

Suluhisho litapatikana akienda hospitali na kufanya vipimo kama ultrasound n.k. ili kujua chanzo ni nini.
 
Dr dawa ya Amina sugu ni ipina mtu akipata haja kubwa vipande vipande km ya mbuzi ni ugonjwa gani?
 
Dr Kuna ndugu yangu anatatizo lakuwashwa kwenye maziwa ameenda hospitali akaambiwa nifangasi lakini kila akitumia dawa hali iko palepale je atumie dawa gani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…