Doctor
Mke wangu anatokwa na maji maji ukeni mazito kama usaha meupe / rangi ya maziwa ,akienda hospitali wanamwambia NI UTI anapewa dawa za uti ule ute ute unaacha kutoka ,lakin sasa wakati wa tendo uchi wake unakuwa mkavu hata umuandae vipi ute ute wa kuashiria yupo tayar hautoki,na kama utatoka ni kidogo saaana ,,kingine anapata maumivu wakati wa tendo na tumbo kumsumbua chini ya kitovu,,
Nb; UTI huwa tunatibiwa wote kwa ufasaha lakin tatzo semultaneously repeatin), naombeni kuelewesha kwa assumption hizo shida inaweza kuwa ni nn?,
Naomba majibu kama mtajali yaje yaje inbox tafadhali[emoji1666][emoji1666][emoji1666][emoji1666]