Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,683
- Thread starter
-
- #141
Kuna uwezekano una allergy nakushauri uchukue allergy test hosp!mie tatizo langu ni chafya.
sina mafua kabisa ila per hour Zinafika hata kumi.
zinanifanya pia kichwa kuuma.
je kuna tiba?
Baada ya kutoa tu unaweza kupata mimba kama upo kwenye siku za hatari kwasababu huna kinga tena!ukitoa kijiti unaweza kupata mimba muda gani?
Thanks lovely Michelle for you encouragement and support!!Yaani katika siku nimefurahi kuwa JF ni leo....na nina furaha sana kwamba ni Mwanamke amenifurahisha hivi.Ubarikiwe sana na Mwenyenzi Mungu Gourgeousmimi, Mungu azidishe moyo huu. Am so proud of you.Tuonekane kwa mazuri zaidi ya jinsia yetu.
Ndio unaweza kula antibiotic ya kumeza inayoenda kwenye whole system na fucidin cream kupaka eneo lenye jipu!Kaka nasumbuliwa jipu kwenye kwapa.. nilienda hospital wiki iliyopita nikapewa dawa inaitwa ampoxin nikaitumia jipu likaisha but wiki hii naona kama tena linaanza.. kuna dawa nyingine naweza kutumia lakin isiwe sindano..Natanguliza shukurani
Hellow wapendwa,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!
Karibuni sana..
Asante kwa mada hiiNina maswali 1. Nini dawa ya constipation?2. Nina ndugu yangu mwanamke amejifungua mwezi mmoja uliopita anapata constipation ambayo inampelekea kutokwa na damu wakati wa kujisaidia haja kubwa, tatizo ni nini? dawa gani zitamsaidia kumbuka ananyonyesha? 3. Madhara ya constipation na/au hemmoroids ni yapi kwa mwanamke?send to: @gorgeousmimi, Riwa, MziziMkavu na wengine wote wenye ujuzi bila ubaguzi
Hellow wapendwa,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu dawa zozote zenye active ingredients (DRUGS). Kama una maswali kuhusu matumizi yake, matumizi yake pamoja na dawa nyingine, vyakula (interactions), athari zake (side effects) au hata kama unataka kujuzwa jinsi dawa inavyofanya kazi kutibu ugonjwa!!
Karibuni sana..
Ushawahi kucheki kama una systemic fungus?na umeshawahi kupata tiba ya systemic fungus??Dr.naomba kujibiwa swali langu,nasumbuliw na fungus wa mdomoni yan umekuw mwekundu(mdomo wa chini) na nikila pilipili au mboga ya chumvi nyingi unazid kuw mwekundu na siku hizi kooni kuna washawasha nataman kuw nameza mate kla mara,halaf mikono na miguu ilianza kupooza km ganzi nmeenda hospitalin nikapew dawa ya ugonjwa wa kuparalyze. Dr.naomba uniokoe,ni miaka kama nane mpaka sasa,toka 2007 na ulianza kwa kuchanikachanika nikawa nacngzia jua,lkn madhara yake yakaja kuw kama ninayoyasema. So naomba unisaidie tatzo ni nn na tiba yake nn ? Ili niweze kuondoa tatzo hili. Nmetumia dawa nyng mno. Hope you are going to help me. To sincerely thanks you doctor,is my pleasure.
Ahsante mkuu...Na wewe ubarikiwe!!Moyo huu~ukarimu huu~upendo huu ni mkubwa!Shule hii na ufahamu huu kwenda kwa jamii ni sadaka tosha!Mungu akubariki na kukuongoza kwa yote!
Ushawahi kucheki kama una systemic fungus?na umeshawahi kupata tiba ya systemic fungus??
Nimekujibu mkuu!Kaka nasumbuliwa jipu kwenye kwapa.. nilienda hospital wiki iliyopita nikapewa dawa inaitwa ampoxin nikaitumia jipu likaisha but wiki hii naona kama tena linaanza.. kuna dawa nyingine naweza kutumia lakin isiwe sindano..
Natanguliza shukurani
Fanya mazoezi ya mwili na kegel exercise.Ukienda kujisaidia haja ndogo fanya kama unakojoa kidogo kisha unazuia mkojo usitoke hesabu mpaka tano,kojoa kidogo kisha zuia tena kwa kucontrol misuli(usichanganye misuli hii na ya miguu,tumbo na makalio) na usijizuie kupumua!!!Rudia zoezi hilo mara 10 kwa siku mara tatu.Kila la kheri mkuuMtaalam, nimewahi kujichua(punyeto) na nafika kileleni mapema sana( ndani ya dk 2) pia uume hausimami vizuri wakati wa kurudia tendo. je nifanyeje nguvu zangu za kiume zirudi kama kawaida? Kiukweli mara nyingi simfikishi mke wangu kileleni