Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hapana si salama kabisaaaa...!!Wakuu water guard ile kutibu maji ya, kunywa jeh ni salama, kwa matumizi ya mama mjamzito wa mimba ya mwezi mmoja
Ganzi miguuno na mikono ni dalili ya Ugonjwa wa kisukari au pressure sometimes lakini pia upungufu wa vitamin flani kama Vit B hupelekea tatizo kama hili.. So kama huna hata moja ya matatizo hayo happ juu ebu jaribu kununua Dawa inatwa Pregabalin au Gabapentin na Vit B complex huwa ni dozi ya mwezi then ukishatumia angalia hali yako endapo hakuna mabadiliko inawezekana kuna Nerve damage au tatizo lingine kubwa so nenda hosp kafanyiwe vipimo ambavyo Dr atakuandikiaGanzi miguuni na mikono(harafu inapata ubaridi) je kipimo gani kinatakiwa au dawa gani nitumie nipone?
Atafute Acyclovir Cream...!! Akiongezea na Acyclovir vidonge bhasi atakuwa poa zaidi..habarini wadau natafuta dawa ya genital whatts na ndugu yangu yupo kijijini kazipata zinamtesa sana
mawazo mgando usije sema ni mimi
Kama ni Fungus mkuu bhasi kuna dawa ya kuinsert inaitwa GYNAZOLE HII NI KIBOKOO...!! Lakini tatizo kubwa la Fungus kujirudi linasababishwa naHellow mtaalamu.
Ndg yangu anasumbuliwa na fangasi ukeni kwa muda mrefu, ametumia anibiotics mbalimbali zikiwemo za kuinset ukeni lkn hajapata nafuu kwa maana ugonjwa huwa unaondoka na baada ya muda unarejea. Na hili limewahi hata kusababisha ujauzito kutoka.
Naomba msaada ni wapi tunaweza pata mtaalamu wa kumaliza tatizo hili sugu kwa ndg yetu maana tulianza zahanati mbalimbali za hapa tunapoishi, hospitali ya rufaa mkoa na hata baadaye tulisafiri hadi Regency hospital Dsm na bado tatizo hili halijakwisha.
Tafadhali tunaomba msaada.
Natanguliza shukrani za dhati.
Kama mnaumwa mafua bila kikohozi tafuta dawa inaitwa Loratadine au Cetrizine lakini ukiweza kupata Toff Plus au wanasema dawa za Chenga bhasi itakuwa Bora zaidi..!! Kama una kifua pia bhasi ongezea na Cough syrup kama Mucolyn au Zecuf..Ebu mnisaidie nyumba nzima tuna mafua makali tutumie dawa gani?
ili apone cha kwanza usafi kwanzia nguo ya ndani pamoja na tauloHellow mtaalamu.
Ndg yangu anasumbuliwa na fangasi ukeni kwa muda mrefu, ametumia anibiotics mbalimbali zikiwemo za kuinset ukeni lkn hajapata nafuu kwa maana ugonjwa huwa unaondoka na baada ya muda unarejea. Na hili limewahi hata kusababisha ujauzito kutoka.
Naomba msaada ni wapi tunaweza pata mtaalamu wa kumaliza tatizo hili sugu kwa ndg yetu maana tulianza zahanati mbalimbali za hapa tunapoishi, hospitali ya rufaa mkoa na hata baadaye tulisafiri hadi Regency hospital Dsm na bado tatizo hili halijakwisha.
Tafadhali tunaomba msaada.
Natanguliza shukrani za dhati.
Kipanda uso husababishwa na vitu mbali mbali ambapo hutokea mara chache sana may be kama mtu ana magonjwa ya kudumu kama Pressure hiv.. Kwa hali kama hii kuna dawa inaitwa Beraserc husaidia sana kwa ishu ya Natural remedies Mara nyingi mafuta mepesi yanayopatikana kwenye mimea mbali mbali kam Tangawizi hutumika ambapo mtu huvuta kama mtu anaevuta ugoroo. Njia nyingine ni Massage...Kipanda uso sio ugonjwa wa kudumu na ndo maana wengi hio hali huisha yenyewe lakini kama wewe hutokea mara kwa mara bhasi vyema ukaenda Hospital pia.Tiba ya kipanda uso ya asili mkuu
MKUU MIMINAOMBA NISHAURI DAWA YA KUWASHWASEHEMU ZA SIRI SINA VIPERE LAKINI NAWASHWA TU NA NI MUDA MREFU SASADiazepam iko classified kama benzodiazepinederivate. Benzodiazepines zinajiunga kwenye receptor mwilini iliyopo kwenye ubongo inayoitwa GABA-receptor.
Na inasababisha muongezeko wa inflow ya chloride ions kwenye nervecells.Matokeo yake inapooza baadhi ya parts za ubongo. Hali hio inaweza kuleta;
Pshycological effects: Nazo ni anxiety withdrawal au sedative effect (kusaidia mwili urelax kama mfano unatakiwa kufanyiwa surgical procedure)
Hypnotical effect: Inachosha ubongo kwahio inaweza kutumika kama sleeping inducer (dawa ya usingizi), Au inaweza kutumika kama muscel relaxer na kusaidia na cramps/spasms!
Kama huna vipele bhasi hiyo ni Fungus...!! Tafuta cream inaitwa TERBIBAFINE itakusaidia.. Akikisha unapooga unajikausha vizuri sana huko chini.. Usirudie kuvaa boxer mara mbili.MKUU MIMINAOMBA NISHAURI DAWA YA KUWASHWASEHEMU ZA SIRI SINA VIPERE LAKINI NAWASHWA TU NA NI MUDA MREFU SASA
uu ubarikiwe sana nahifadhi id yako nitakuopa mrejesho baada ya matumizi ya muda fulaniKama huna vipele bhasi hiyo ni Fungus...!! Tafuta cream inaitwa TERBIBAFINE itakusaidia.. Akikisha unapooga unajikausha vizuri sana huko chini.. Usirudie kuvaa boxer mara mbili.
Yaah mkuu pole sana ungekuwa na vipele ningekuandikia Cream yenye mchanganyiko wa Dawa tatu ambayo ingeondoa na upele pia ila hiyo ni Fungus.. Zingatia usafi na kujifutaaa vizuri ukitoka kuogauu ubarikiwe sana nahifadhi id yako nitakuopa mrejesho baada ya matumizi ya muda fulani
nashukuru sana kaka naenda kuinunua sasa hivi niko kwa ofisiYaah mkuu pole sana ungekuwa na vipele ningekuandikia Cream yenye mchanganyiko wa Dawa tatu ambayo ingeondoa na upele pia ila hiyo ni Fungus.. Zingatia usafi na kujifutaaa vizuri ukitoka kuoga
Daah hii ni ugonjwa wa ngono kaka...!! Tafuta dawa inaitwa Azithromycin itakusaidia.Nmekuwa nasumbuliwa na UTI hadi imefikia kipindi saivi uume unatoa usaha na maumivu wakati na kojoa naweza kutumia Dawa gani itakayo nisaidia
AsanteDaah hii ni ugonjwa wa ngono kaka...!! Tafuta dawa inaitwa Azithromycin itakusaidia.
Ndio safe kabisa usiwe na shakaa... Kwa kutibu Kichefuchefu na kutapikaa...!! Sema tu zinaleta usingizi..Metoclopamide jeh hiii dawa ni nzuri kwa mama, mjamzito ambae anatapika kila akila chakula?