A
Anonymous
Guest
Kuna hii kampuni imekuwa ikinitumia ujumbe wa kuomba kununua mkopo wangu ambao umesalia kutoka HELSB kila wiki.
Imekuwa kero kubwa kwangu kutumiwa ujumbe huo na mara kwa mara hasa kwa kuwa sikutoa namba yangu katika hiyo kampuni sijui taasisi ya kukopa, sasa wametoa wapi namba yangu au HELSB ndiyo wanagawa kama yule mwingine alivyosema.
Pia soma ~ Taasisi ya kukopesha imesema imepata ‘details’ zangu kutoka Bodi ya Mikopo, nani karuhusu taarifa za Wakopaji kusambazwa?