Nakerwa sana na haya maneno: "P,PW,K,JOMONI"

Kwani hii jomoni ilitokea wap?au aliianzisha nani?,Kuna jamaa alikuwa anapenda kuchat namm lakini anatumia maneno kama mamboooo,nipooo,sawaaa nk Yan anaongeza sirabi nyingi mbele ya neno niahisi shoga maana hizo ni staili za kike kabisa,wanaume tusipende kuiga tu vitu vingine vya kike
 
ilikua unaitwa unachagua adhabu mwenyewe ukichagua adhabu nyepesi unatumwa bakora yakukucharaza na ukileta bakora iliyo chini ya viwango unacharazwa nayo mpaka inakatika vipande unarudishwa unaenda kuleta yakiwango cha juu ndipo utakapo charazwa viboko kwa idadi ya atakayopenda mcharazaji kisha unaachiwa unaondoka

Asante sana mi ni hayo tu lugha yetu iheshimiwe
 
Pitia hapa Bibi FaizaFoxy
 
Ndicho nilitaka kuandika sasa
 
...nilimkuta mtoto wa kiume anasema hiyo jomoni,maamae nilimtia bonge la mdole,
.na makofi juu!
 
Inakera sana unakuta baba au mama mzima anatumia hayo maneno
Matumizi ya x badala ya s pia.
 
Safi sana mkuu, naungana nawewe....sipendi matumizi ya hayo maneno....ni upuuz kukuta jidume et linasema "jomoni" ndo upuuz gan.....wengi wao unakuta hawana marinda.
Cc Beira Baby Boy
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…