Nakiri kuwa hii ni moja ya zawadi bora kwenye maisha yangu

Yes, ikitokea mkawa maadui it's over. Hata mkisuluhishwa vipi ni ngumu kukaa sawa. Aliyekuwa rafiki yangu sana sana, my best friend bro- now is far off, yaani maisha haya..😭
Poleni sana aisee,. Sema ni kuombeana tu mambo yaende sawa maana bora kutofautiana na mtu baki.. Mafarakano ya ndugu ni mabaya sana aiseeπŸ™Œ
 
Inasikitisha sana mkuu, familia moja mnakuwa na mabeef ya kijinga.

Braza alikuwa best sana yani, niwe na issue gani nisimwambie au yeye akiwa na mambo yake lazima aniambie. Ila sentensi moja tu ilivuruga mahusiano hadi leo.
 
Poleni sana aisee,. Sema ni kuombeana tu mambo yaende sawa maana bora kutofautiana na mtu baki.. Mafarakano ya ndugu ni mabaya sana aiseeπŸ™Œ
Mabaya sana, ndugu wakigombana ni msala.
 
Nilijipendekeza nikaona isiwe tabu mkuu, nina ego kubwa ila kwa bro nilijishusha sana. Uzuri tumezaliwa wengi.
Usichoke mkuu,. Huenda nae ana ego hataki kujishusha
 
πŸ€”πŸ€”,. Hivi shida huwa ni nini au labda kuna connections zozote na mambo ya kiroho? Maana ni wengi wanalishuhudia hili
ni nature tu, mimi na mdogo wangu wa pili tume gombana Sana.

mama akawa ana sema nyinyi hamgombani, yeye na dada ake ili kuwa vita ya 0 ya Dunia.

Imagine mtu ana enda kulala kitandani, wewe uki panda uka weka hata mchanga kime umanaπŸ˜ƒπŸ˜‚.

Sasa hivi wako cool, muda huponya.
 
Duuh
 
Inasikitisha sana mkuu, familia moja mnakuwa na mabeef ya kijinga.

Braza alikuwa best sana yani, niwe na issue gani nisimwambie au yeye akiwa na mambo yake lazima aniambie. Ila sentensi moja tu ilivuruga mahusiano hadi leo.
Mnaweza kuanzia kwenye chanzo hapo mkajaribu kusuluhisha kwa mara nyingine
 
Shida inakuja kuwa ikitokea mmoja kafa bila kupatana mwingine anaweza aishi na majuto maisha yake yote..

Ila ni kuomba uzima tu
 
Kwa style hiyo mmoja wenu akitangulia na kuacha watoto wadogo, hao watoto watapata msaada kweli?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…